MODERATOR NI HESHIMUNI SANA ....πŸ€ŸπŸ™πŸ™ MIMI NI MIMI ⁉️

1995_No_Ku_Fake

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2026
Posts
1,388
Reaction score
2,926
TAARIFA KWA WANACHAMA WA JF

Nimeona ni vyema kuweka jambo hili wazi. Mimi siungi mkono upande wowote wala sina ugomvi binafsi na mwanachama yeyote hapa JF. Mimi ni mimi, sina mtu mwingine nyuma yangu, wala sina ID nyingine za kujificha.

Nimejiunga na JamiiForums kwa lengo la kujifunza, kubadilishana mawazo, kujenga hoja na kufahamiana na watu mbalimbali. Sina nia ya kushindana na mtu, kumchafua au kuendeleza malumbano yasiyo na tija.

Kama kuna sehemu nimekosea, niko tayari kujifunza na kurekebisha. Naomba tuheshimiane na kila mmoja apewe nafasi ya kuwa yeye mwenyewe bila kuhukumiwa kwa tuhuma zisizo na ushahidi.

JF ni sehemu ya kujifunza na kubadilishana mawazo, si uwanja wa vita binafsi. Mimi ni mimi, naomba niheshimiwe kama nilivyo.
 
Hata hapa akiona hakujachangamka mara moja Ganna atajitokeza kutoa angalizo. Au Life 255 naye ataibuka ali mradi vurugu tupu.

Mlio karibu naye toeni msaada wa kimihemko. Au mods wamsaidie kwa kufuta nyuzi zake zote hasa hizi za malalamiko. Au wampige ban ya wiki mbili ili apumzike kidogo
 
Chiwawa halafu ni mbabu kabisa wa kukaa acheze na wajukuu lakini ndo hivyo kagoma kugrow..!! 😹😹😹
 
Mkuu i understood vere were
 
Ana moja hiyo inaitwa @Makong12
 
ana
sema yeye ni yeye huyo tunayemuona katika Picha aliuawa miaka mingi liyopita halafu pia kajiita fake anataka ma Admin wamhehsimu kivipi
 
Wengi mnadai mmejiunga Jf ili mjifunze ila kutwa mko active uzi wa warembo wakali world wide na kuzungukia pm za pisi za jf
 
huyo life 255 ndo hiyo id baada ya kuachana na uomba omba akabadilh user name na avieter saivi ndo huyo tena kama huyo guinner siyo id yake basi itakuwa ndugu yake
 
kwani leo dada hajakubali proposal yako bado?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…