Moden Interview

Window

Member
Joined
Aug 14, 2011
Posts
44
Reaction score
2

Je tutafika?

 

Attachments

  • pic.jpg
    26.3 KB · Views: 656
Hizo ni Pingu..!? au mijicho yangu imezidiwa na ngeleja?
 
kavua underware, nahisi intaviu yenyewe ni ya mambo yale.
 
Anaweka mazingira ya kutoa rushwa.
 
Hahahahaha jamani hii technology yaweza mfanya mtu afe kwa pressure!!
 
|hahahahahahah mazingira ya rushwa hayo full
 
Lengo nikupunguza maswali kutoka kwa anaye mInterview.
 
Kazi hapo amepata labda akutane na jamaa mlokole asiyeelewa lugha ya picha
 
Hapo kwa kweli wamemzalilisha mama wa watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…