Modem za voda

na huawei EC 122 za zantel zinaweza kuchakachuliwa pia?
Inawezekana ila mm sijui jinsi ya kuchakachua na hata ukichakachua ni Useless Modem hiyo hautoweza kuitumia na mitandao ya GSM i.e Airtel,Tigo,Vodacom,Zantel na Smart maana modem hiyo inatumia CDMA technology na Providers wa CDMA i.e TTCL kwa sasa sijui kama wataweza kukupa hizo line

Practically speaking hiyo modem ni useless kwa mtazamo wangu kuanzia speed ni kimeo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…