CalvinPower
JF-Expert Member
- Nov 25, 2008
- 1,731
- 1,131
Let me point out here that i have no Idea hizo modems zinafanana vipi. I therefore requst for two things. Make (mfano Huawei) and model (mfano E1550) kama kuna mtu anayo please kindly tutajie hiyo promo ni make gani na ni model gani.lets wait for calvin powerss resultsss
Let me point out here that i have no Idea hizo modems zinafanana vipi. I therefore requst for two things. Make (mfano Huawei) and model (mfano E1550) kama kuna mtu anayo please kindly tutajie hiyo promo ni make gani na ni model gani.
Dont be discouraged Mkuu, I'm very sorry that I've been a little bit bize, kesho ni public holiday hawafungui. Ila kama kuna mtu aliyenunua atupe detals then nitajua wapi pa kuanzia.Mkuu, tulikuwa tuna kusubiria wewe baada ya kutuambia unge nunua moja kwa ajili ya majaribio.. Sio mbaya tuwasubirie walio nunua watupe detail zake.
Wakuu mnaotaka ni wa PM, nyie ndio mnataka niwasaidie na bado mnataka mimi niwatafute inakuwaje hii? imekaa sawa kweli? leteni hizo PM haraka.
Wewe muganyizi, haha haa haa
mbona unazingua watu hivyo? Walete PM na wewe hupatikani kwa PM?
Nimekutumia e mail!
Du mzazi umekuja na kitu cha maana, tupe mzigo wa kuchakachua moderm za zantel, nina machungu nao sana! ikibidi tuwapoteze sokoni kabisaa!
Mganyizi, asante sana kwa trick yako, nimeacha pc yangu ikidownload madude, ubarikiwe sana.