Modem za 3.5G HSPA 7.2 Mbps zinapatikana wapi ?

Modem za 3.5G HSPA 7.2 Mbps zinapatikana wapi ?

Ford89

Senior Member
Joined
Jul 31, 2011
Posts
128
Reaction score
15
Kitambo sana kuna mwamba mmoja aliniulizia modema kama hyo...ila kwa sasa simpat hewan...so mwenye kujua wap naweza kupata modem kama hyo...na kama unafahamu niambie bei yake ina range vip?
 
Kitambo sana kuna mwamba mmoja aliniulizia modema kama hyo...ila kwa sasa simpat hewan...so mwenye kujua wap naweza kupata modem kama hyo...na kama unafahamu niambie bei yake ina range vip?
  • Kwa sasa tafuta hii modem
  • HUAWEI E303H Download Speed ni 14Mps
  • Zinauzwa kwenye maduka ya Tigo kwa tsh 25'000 /- { Kipindi cha offer waliziuza tsh 15'000 }
Na ili kuifanya isome laini yeyote basi fuata maelekezo hapa
 
Hiyo unayoiulizia zinapatikana Kariakoo kuna Duka mmoja hivi la Mnigeria elf 30 kama uaelekea kariakoo Kabla ujavunga mzunguko wa msimbazi kama unatokea karume .
 
Back
Top Bottom