Modem ya Voda haifanyi kazi!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Modem ya Voda haifanyi kazi!!

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Mawenzi, Apr 4, 2011.

 1. Mawenzi

  Mawenzi JF-Expert Member

  #1
  Apr 4, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,261
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Hodi wanaJF!! Modem yangu ya voda haifanyi kazi toka Ijumaa. Je kuna mwingine mwenye tatizo kama langu? actually natumia modem ya Zain iliyochakachuliwa. Toka Ijumaa napata message inayosema hakuna connection na remote computer.

  Hii ni nini?? Msaada plz
   
Loading...