Modem mpya za tigo

Kazabuti

Member
Feb 23, 2011
11
0
Wana jamii nisaidiene kama kuna any apdat ya software ya kuanilock modemu hizi
pia kama kunamwajamii mwenye software ya Huawei modem unlocker 5.7.7 nimejaribu 5.81
nimeunlock temporary. :hail:

 
mkuu mpaka sasa hamna software ambayo inaweza kui unlock permanently hz modem mpya zilizo kuwa customized ata hyo version ya 5.7.7 ni temp 2.
 
Back
Top Bottom