Robert_Carlos
Member
- Aug 2, 2018
- 16
- 3
Ivi unaweza vipi kuialibu modem ya mtandao mmoja na kufanya itumike mitandao yote
Fresh ahsante kwa msaada wako apo nmekusomaKuna software nyingi za kufanyia hzo kazi.. Tafuta dc-unlocker ni user friendly na sio ngumu kuitumia Maelezo mengine utayakuta kwenye user-manual yao
Uko poa sana pamojaNjia rahisi kabisa ni weww kudowload application inaitwa Nokia pc suite latest version halaf ukishainstall kwenye pc yako chomeka moderm yako uliyoweka line tofaut halaf bonyeza buton ya conect kwenye nokia pc suite hapo utAtumia moderm yako bila hata kuiflash

Hii ndio nimesikia leo ila Nita testNjia rahisi kabisa ni weww kudowload application inaitwa Nokia pc suite latest version halaf ukishainstall kwenye pc yako chomeka moderm yako uliyoweka line tofaut halaf bonyeza buton ya conect kwenye nokia pc suite hapo utAtumia moderm yako bila hata kuiflash
Haifanyi kazi.Hii ndio nimesikia leo ila Nita test
Join air inafanya kazi tu kwa modem za Huaawei ambazo in reality zinakuwa hazijawa locked ila kilichokuwa locked ni dashboard inayokuja nazoKwa urahisi zaid download join Air wakuu
Speak if what you are going to say is more Beautiful than silence
Huawei zina customized firmware so hiyo join air inadunda!!!Join air inafanya kazi tu kwa modem za Huaawei ambazo in reality zinakuwa hazijawa locked ila kilichokuwa locked ni dashboard inayokuja nazo