OK kwa Dar es salaam nafikiri itakuwa rahisi kwako kama ukiongea na designers wakubwa they might help you maana ndio na coordinate sana na Agencies when it comes to Fashion shows au jaribu kucommunicate na models kama kina Jihan, Lota Mollel na wengine watakusaidia.