Huyu alitembea na shemeji yake, yaani pacha ya Mke wake alikuwa kama mkewe. Alikuwa anapiga mtu na pacha wake,Ama kweli pesa siyo kila kitu maana alikufa kwa cancer ya tezi dume.Halafu kama ni pesa Jamani aliitumia, maana alishawahi fanya birthday ya Mke wake,tusingewajua ufaransa akaalika wageni wazito wazito hadi raisi wa ufaransa alihudhuria. Tafuteni documentary inaitwa ROI DU ZAIRE. Wacongo walimuabudu kuliko hata Mungu. Jamani Mobutu aliimbiwa nyimbo za kuabudiwa na kuombewa kuishi milele
That's my Preta_right...?....Igwe miss you bhana,........
kuku wa nini sijui alikuwa anajiita!!
Pamoja na hela zake zote mazishi yake yalihuzuriwa na watu wanne tu! na alizikwa nje ya nchi yake kwa aibu!
Alimuua Lumumba!
Alimuua Lumumba wapi na lini?Get your facts right usifuate mkumbo.Wakati Patrice Lumumba akiuawa Mobutu hakuwa Rais wa Congo .Rais alikuwa Joseph Kasavubu. Huyu alipinduliwa na majeshi na Mobutu akawa kiongozi mwaka 1965.
Kwa hivyo aliuawa na nani?
Huyu namkubali sana sana.
Mobutu Sese Seko Kuku Ngbandu Wa Zabanga Wa Zaire.
Alikuwa na vijiko vya dhahabu.
Jumba lake la kifahari lilikuwa katikati ya msitu mnene na ni Ndege tu iliweza kufika hakuna barabara.
Keki ya birthday ilipikwa ufaransa na kuletwa Zaire(congo)
Alikuwa na Manuari ya starehe ndani ya mto Congo.
Harusi ya mtoto wake alituma ndege paris kununua chupa moja ya shampeni
Alizikwa na kilo tatu dadekiDaah pamoja na ufisadi wote hayupo tena Duniani...watawala wetu wajifunze hili
Wa kienyejikuku wa nini sijui alikuwa anajiita!!