karibu tena...
zamani bila ubabe ulikuwa unapinduliwa kirahisi sana tofauti na leo ukimpindua mwenzako utawekewa vikwazo na UN mpaka ukome
Mabutu alikuwa na watoto wanggapi na wako wapi?
Na nini kilisababisha kifo chake na alizikwa wapi??
Wakuu naombeni muendelee kutunakishia uzi huu
haya ntajitahidi nisiwe napotea sana huko! Tatizo kila siku mnashinda nyinyi tuu yaani hata suluhu hamtoi
Alipinduliwa mkuu na Laurent Kabila
Msisahau aliifanya fedha ya Zaire kushuka thamani na baadhi ya wanajeshi kukosa hata viatu.
Tukiwa wadogo kuna Mzaire mmoja alimpa dem wake wa Kibongo kama laki mbili baada ya siku kadhaa za mapenzi, binti akajua ameukata akaenda Benki kwa nyodo lakini chenji aliyopewa hana hamu mpaka Leo.
Bilionea wa Kwanza Mweusi Ulimwenguni
Alimuua Lumumba!
Nakotunatuna.......nakosalasala............
du ikimaanisha nini vile...