Hakosi uzuri hata kiduchu.
Alipiga marufuku majina yote ya kigeni, lazima yatumike majina yenye uasili na uafrika, hakuna cha paulo wala mwamedi.
Kuku Bendu wa Zabanga
He Africanized his name to Mobutu Sese Seko Kuku Ngbendu wa za Banga--meaning "the all-powerful warrior who because of his endurance and inflexible will to win will go from conquest to conquest leaving fire in his wake."du ikimaanisha nini vile...
​nilisikia story kuwa huyu bwana maji ya kunya? yalikuwa yanafatwa na ndege Paris kila yanapokaribia kuisha nyumbani