Wewe ndo unachekesha yaani hujui hata nyumbu ni kitu gani:hat:Hilo Jina NYUMBU ni la kuchekesha. What does it mean? Lol!
nimeipenda gari hiyo...najua ssisi tulianza, wao wanafuata tu, kwa kuleta gari hiyo najua watakuwa wametuamsha sisi watz ili tutuo magari yetu haraka...lakini hata hivyo, hii gari mimi sina hamu ya kuinunua kwa sasa, labda baadae sana kama nitakuwa convinced......
JWTZ (Jeshi la kujenga Taifa) mko wapi mtutetee jamani, angalieni kejeli za mkenya huyu anavyoturingishia kigari chao wakati sisi ndo tulianza kutengeneza iyo nyumbu...nyerere alikuwa na vision nzuri sana, hata magari ya kijeshi mnataka muagize? hadi lini mtaagiza...liganga kuna chuma ya kutosha...hebu mjitutumue jamani kulinda heshima ya taifa letu. wakenya wakitushinda kwa hili, basi tutaingia mkataba wa kuassemble magari ya HONDA au Toyota (Honda walishaonyesha interest hapa dsm) kucompete nao...au mnasemaje?
KAMPUNI NYINGI ZA MAGARI HAWATIKI NCHI NYINGINE ZIWEZE KUTENGENEZA MAGARI YAO-COZ WANAJUA UCHUMI WAO UTAHARIBIKA-WANACHOTAKA WAO NI KUGEUZA BAADHI YA NCHI KUWA ASSEMBLY LINE,Haapo ni kudanganyana tu, Africa hatuna Techinologia ya kuunda magari wenyewe, Jiulize South Africa na uchumi wake imara anatengeneza gari gani?
South africa kuna Viwanda vya wajapani na Waingereza vya kuunganisha magari kam Tdi na Toyota za Japani,Hiki wanacho fanya wakenya mbona hata CARMATEC ARUSHA Wanaunda matrecta? lakini ukichunguza mtrcta ya CAMATEC utagundua Inji bloc ni kutoka India, Taa za mbele ni za japani na waya ni za Uingereza,
Hicho wanacho fanya wakenya ni kuunga uunga vyuma, nina uhakika hizo taa mbele zinaweza kuwa ni kutoka China, Injini Block ni japan au india, Oil filiter ni India na kazalika, na hata kiwanda cha Jeshi NYUMBU mtindo ni huo huo tu
Mobius is not spearheaded by the military, about founders, its a blend of Kenyans and a couple of white people.
Tata and Jiefong (or whatever that name is are not involved)...its a group of mechanics making it big.
Viwanda vya magari sasa siyo deal kabisa.
Mtafilisika sasa hivi na hiyo biashara. Labda muanze kwanza na viwanda vya STEEL na ndipo mje huko.
Sisi tutawa provide na steel, kiwanda kikubwa kinakamilishwa hapo Bwagamoyo.
zomba, Where do we get the steel to melt at Bagamoyo? From Mchuchuma? I understand about Kamal Industries"s intention to put a lube plant or refinery...I did not know about the steel mill.
Hilo Jina NYUMBU ni la kuchekesha. What does it mean? Lol! sorry my friends we do not need your steel, we have plenty of steel mining in Taita taveta and we can get even cheaper steel from INdia.
zomba, Where do we get the steel to melt at Bagamoyo? From Mchuchuma? I understand about Kamal Industries"s intention to put a lube plant or refinery...I did not know about the steel mill.