Mobile Wireless Internet provider?

Mobile Wireless Internet provider?

Tumia Smile.....telecom.....LTE CONNECTION ........NAANGALIA INTERNET KAMA TV! 🙂
 
ios 6.1.2 on iphone 4s brings wireless internet tethering...:drum:
Unaweza kuitumia iphone 4S ..ios 6.1.2 ku rusha wifi..popote nyumbani(ndogo au kubwa ulipo)..🙂
 
Smile Space
Regent Business Park
172 Chwaku Street
Mikocheni
Dar es Salaam

Telephone: + 255 (0) 222 700 733
Email: info@smile.co.tz
 
Nimekuangishaje mkuu?

Kwani kutojua ni dhambi?


Nitafuatilia hicho kifaa kwa watu wa vodacom.

Sawa mkuu ila Kama una simu ya androids au nokia smartphone yoyote ile Ambayo Ina WLAN inaweza fanya hio kaz instead of kugharamikia hivyo vifaaa!!


Pia hata computer yako inaweza fanya hzo kitu...... Soma hapa chino

how to use your pc as a hotspot

Mm natumia hii kitu kwenye tablet na iPod ... My nokia e72 Ina malza kila kituu

attachment.php
 

Attachments

  • 5a29ea477d33b63cc9a96ac98c4e0e9a.jpg
    5a29ea477d33b63cc9a96ac98c4e0e9a.jpg
    29.9 KB · Views: 81
Huyu jamaa anayE ipa Smile Communication Promo hapa JF. Embu atueleze gharama zake zimekaAje na Bundle pia. Je kwanini hawajaenea sehem kubwa ya DSM!?

Pia startup Kit yao ni Very Expensive utafikiri ni Enzi zile (1998) Simu ya Twanga Pepeta Mtu unanunua kwa Tsh125,000/-
Hata kama wanasambaza. Network ya Kisasa 4G lakini naona wanataka warudishe gharama zao haraka haraka kwenye hizo startup Kits zao. Kwani kujiunga Nao(I mean Smile Comm) Sio chini ya 300,000.

Hiyo gharama kwani unataka kufungua "CyberShop"!?

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom