Mobile Wireless Internet provider?

Mobile Wireless Internet provider?

Dark City

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2008
Posts
16,252
Reaction score
11,653
Naomba kujulishwa kama hapa Tanzania kuna kampuni inayotoa huduma ya mobile Wi-Fi.
 
Naomba kujulishwa kama hapa Tanzania kuna kampuni inayotoa huduma ya mobile WIFI.

asante babu kwa kuleta hili swali.....umejuwejeeeee........

hujambo lakini.....?
 
kumbe na wewe unateseka kama mie?

mimi ni mzima. Ila bado natafuta wakili!
 
Naomba kujulishwa kama hapa Tanzania kuna kampuni inayotoa huduma ya mobile Wi-Fi.

mobile Wi-Fi mbona sijakuelewa...lkn kuna kampuni inaitwa ADN inarusha Wi-Fi na ikopoa 2 ...mm ndo na2mia lkn haipo distributed bongo yote ni sehemu chache

unakaribishwa kuuliza...lkn kwa nn unataka utumie wifi pia naomba niju
 
Ahsante sana mkuu,

Nahitaji mobile WiFi ili niweze kutumia kwenye vifaa kama iPad au hata smart phone endapo ina unafuu wa bei.

Natumai umeinielewa sasa,
 
Smartphone kama android, nokia lumia etc. zina uwezo wa kushare internet kupitia wifi. so kama una simu yenye uwezo huo, weka bundle tu then una share kama hotspot.
 
nenda pale Shoprite mlangoni pale kuna akina dada wana promote mobile wireless internet
 
Ahsante sana mkuu,

Nahitaji mobile WiFi ili niweze kutumia kwenye vifaa kama iPad au hata smart phone endapo ina unafuu wa bei.

Natumai umeinielewa sasa,

Fata ushauri wa mdau hapo juu kwakutumia smarphone moja afu nenda TETHERING au ona post ya e2themiza jinsi ya kutengeneza Wi-Fi kwa computer
 
Last edited by a moderator:
ndugu nitafute naweza kukuconnect na huo mtandao live bila chenga uwe na hela tu na simu yenye uwezo wa kupokea configurations wala usijishiku we ni pm tu
 
Ahsante sana mkuu,

Nahitaji mobile WiFi ili niweze kutumia kwenye vifaa kama iPad au hata smart phone endapo ina unafuu wa bei.

Natumai umeinielewa sasa,

mkuu unaniangusha? Kwan ww unatumia simu ya aina gani?

Maana unawezatumia simu pia kama source ya Wireless pia computer inawezatumika piaa! Then kuna wireless modem znauzwa vodashop pale... Na pia kuna kifaa kinaitwa Mifi knaweza fanya kaz hio!
 
Smartphone kama android, nokia lumia etc. zina uwezo wa kushare internet kupitia wifi. so kama una simu yenye uwezo huo, weka bundle tu then una share kama hotspot.

Labda nitoe maelezo zaidi.

Nina iPad ambayo haina SIM card kwa hiyo siwezi kutumia huduma za kawaida za makapuni ya simu kununua bundles. Napata mtandao pale tu ninapokuwa kwenye maeneo ambayo yana WiFi services. Nilihisi kwamba naweza kupata huduma ya WiFi ili niweze kutumia iPad hiyo popote ninapokuwa na siyo eneo lenye WiFi tu. Yaani ni pate huduma kama vile kwenye simu au iPad/tablet yenye SIM card.
 
Smartphone kama android, nokia lumia etc. zina uwezo wa kushare internet kupitia wifi. so kama una simu yenye uwezo huo, weka bundle tu then una share kama hotspot.

Naomba unieleze zaidi.

kama inawezekana kuwa na bundle kwenye iPhone na ukaitumia kupata Internet kwenye iPad through WiFi.
 
mkuu unaniangusha? Kwan ww unatumia simu ya aina gani?

Maana unawezatumia simu pia kama source ya Wireless pia computer inawezatumika piaa! Then kuna wireless modem znauzwa vodashop pale... Na pia kuna kifaa kinaitwa Mifi knaweza fanya kaz hio!

Nimekuangishaje mkuu?

Kwani kutojua ni dhambi?

Nitafuatilia hicho kifaa kwa watu wa vodacom.
 
Naomba unieleze zaidi.

kama inawezekana kuwa na bundle kwenye iPhone na ukaitumia kupata Internet kwenye iPad through WiFi.

Mkuu Dark city unatumia simu gani?
Maana kama ungekuwa na simu yeyote ya Android os kuanzia 4.0 kwenda juu huhitaji kutafuta wireless mahali popote.
Anderoid phone inauwezo wa kugawa internet kwenye vifaa vingine kwa njia ya wirelessly
Mimi nilishatupa modem na natumia mtandao huo huo wa simu yangu mpaka kwenye tablet yangu ambayo haina simu card
 
Ahsante mkuu,

natumia iPhone 4S
 
jibu lako ni pale kwenye post ya kiranga na chengine sioni kama kutakuwa naunafuu kwani ukifuata maelekezo wanayoyatoa gharama zipo pale pale tu nenda vodashop kachukue iko kifaa cha wireless uwe unatumia..
 
Back
Top Bottom