Mkuu wanalipa kodi kama kawaida!
Kwenye importation pale airport au bandari kuna watu wa Custom . wanaoagiza simu wanatozwa VAT na kodi zingine nyingi tu.
Kwa wanao nunua rejareja kuna kodi unalipa pale airport kama ni moja au mbili unaweza ukasamehewa!!
sijui kama nimejibu swali lako