wanapolumbana
weakness
Hivi udhaifu wa mwingine utauchukuliaje kama "challenge to you"? Hahahahahha........ Mfano, mtu anasema hajui Kiswahili, hiyo ni challenge kwangu mimi? heheheheee...Duu!
Nimehoji swala lililoletwa na mtoa mada. Ni mtandao gani huo ambao 7,500/= haitoshi kuongea dakika kumi?
Jibu hoja, habari zako za "udaku" weka pembeni:
Mtandao gani umejaribu Tanzania ukashindwa kuongea dakika 10 kwa vocha ya 7,500/= ??
Huo ni udaku? Au huelewi kinachoandikwa, maana umesema lugha inakusumbua.
Mkuu usione hizo bei ukachanganyikiwa......hiyo kampuni ikija bongo itakuwa na bei za kibongo....unajua kwa nini?
INFRASTRUCTURE!!!!!
bei hizo zinawezekana marekani na kwingineko kwa sababu wana hi-tech fiber network, na wireless comminication ni kwa ajili ya end-point delivery tu. Hapa bongo tokea sauti inatoka kwa operator mpaka inamfikia mhusika ni hewani tu.....ambayo ni very expensive na very inefficient.
Infrastructure ya Tanzania hairuhusu bei za chini kama ulaya.......ndio maana ingawa tulikuwa na internet kwa muda, ni baada ya SEACOM kufika ndio bei zimeenda chini.....kwa sababu wired communications ni cheaper kuliko aerial.
Naona ni nyingi sana, ndio maana namwomba anieleze ni mtandao gani ambao 7,500/= haitoshi kuongea dakika kumi? Na hizo "dakika 20 au saa moja" tusibahatishe namba tu, unajuaje haizidi saa moja? Unalinganisha TZ na Ukraine? Linganisha na Msumbiji na Malawi, ndio hali yao hali yetu.Sasa we Taso wewe unaona 7500 shillingi ni ndogo?... mfano huu Ukraine ... kwa hivyo 7500 hata kama dakika 20 au saa bado ni aghali sana sana
Ndio, kwa mfano, labda, tungeimarisha barabara kuu ipi itusaidie kusafirisha mawimbi ya simu na internet na kupunguza gharama?Kuna sababu ziko nyingi
Miundo mbinu ni mibovu sana kwa nchi yetu hasa Barabara.
Unadhani kwa nini iwe hivyo Mkuu? Miundombinu mibaya ya barabara na kukatikatika kwa umeme na ugumu wa kusajili BRELA?Tuliambiwa kuna MKONGO WA TAIFA maarufu kwa jina la OFC -ICTBB(Optical Fibre Cable-Information Communication Technology Backbone) kwamba huo ukishakamilika BEI YA DATA NA MOBILE ITAKUWA CHINI. It's now almost a year BEI za tarrifs ziko palepale
Dollar 5 ni shilingi 7,500 takriban. Vocha ya 7,500/= unaweza kuongea zaidi ya dakika kumi mtandao wowote ule. Sijui hesabu zako unafanyaje. Na lugha nayo unasema inakusumbua, sasa hapo sijui tusaidiane vipi.
internet access inapimwa kwa dakika toka lini na wewe? Tunaongelea simu, kasema 7,500/= hazitoshi kuongea kwa dakika kumi. Mtandao gani huo?ana maanisha domestic and International call, internet etc
True story nina rafiki wawili kwa wakati tofauti tofauti wamejaribu kuingia kwenye Telecommunication market ya Tanzania na mpaka sasa kesi zao ziko mahakamani.
Mmoja alifanya partnership ya 30% + 5% kwa kigogo na 65% ya non Tanzanian investor ambao walikuwa na Know How zote necessary kurun biz under very low cost and effective management structure. Walifanikiwa kila mahala kwenye kupata leseni lakini mgogoro ukawa kwamba issue yao ika vuja kwenye voda, then wakapewa channel au frequency ambazo wasingeweza kufanya chochote. Waka file lawsuit mahakamani, na mpaka leo kesi ipo hai.
Wengine walitoka Seattle, hawa niliongea nao mwenyewe 2008 walikuwa wanataka business developer in African market. A small company ambayo ina run kama Cricket, boost au simple mobile. They don't own mitambo wala nini, walipofika bongo wakutana na kikwazo kwamba wao ni kampuni fake. Ukweli kampuni hiyo ni popular Seattle, basi wakakwamia hapo.
Tanzania bado Vodacom inatawala sana nani aingie kwenye market na nani asiingie.
Mh kweli haya ni mawazo ya busara sana Je akitokea m tu mbaye anaweza kuanzisha kampuni inayodeal na minara tu ambayo atakuwa akikodisha kwa makampuni yoyote ya hizi simu unahisi kuna faida je kuna sheria zozote zinzoregulate?
do u have communications with them,nipe deal niwasilianr nao.
Nita kuinbox mmoja wao, wengine ndio walioleta Talktel ambayo mpaka leo ni adisi.