mobile operating system upgrade

sijawai ku brick phone na nimeanza kujifanyia manual upgrading and hacking miaka mingi tu. sio kwamba namshawishi mtu ila manual updates and jail breaks are fairly easy and its very hard to brick modern phones. hao waliobrick zao wana shida zao. na hata ukibrick android ina system recovery moja tamuy mno, two secs unarudisha simu back to default firmware

Mkuu LEH. si kwamba namkataza mtu kufanya manual update..with iphone i agree it's easy to Jailbreak lakini kwa Android phones especially Samsung kidogo kuna ugumu,na baadhi ya walio_succeed ku-upgrade they admit how slow the phones are,compared to the desired effects..pia thru drippler nimejaribu kucheck katika forum nyingi, hata za Samsung wenyewe wanasema hivyo hivyo, ila ilikuwa ni ushauri tu mkuu.
 
Do this; Settings>About phone> tap Online updates, subiri wakati simu yako ina-check update availability! Kama hakuna updates "Your device is uptodate"....
Pia unatakiwa kujua kama simu yako ni 'listed' by your device manufacturer for update. According to GSM Arena Samsung Pro Y
Duos wont receive any update mkuu!

http://www.gsmarena.com/samsung_galaxy_y_pro_duos_b5512-4371.php
 
Firmware mpya zinahitaji RAM kubwa na kama simu yako ina RAM ndogo itakua very slow after updating! Kama anataka taste ya Android v4.0.3 (Ice Cream Sandwich) jaribu ADW Launcher.
 
Back
Top Bottom