Mwl.RCT
Platinum Member
- Apr 5, 2009
- 15,795
- 22,767
- Je hii namba 0682 895 839 ni ya mtandao gani Tanzania?
- Je mmiliki wake naweza kumjua vipi?
- Je watu kama hawa (matapeli) hatua gani huchukuliwa (na kampuni ya simu husika; au TCRA) kama fundisho kwa wengine?
- Je hizi namba za simu za wateja (wa makampuni ya simu) wanazipata vipi? mfano hii namba yangu ni maalumu kwa modem tu kwa zaidi ya miaka miwili haijawahi kutumika hata kutuma sms, ameipataje?.
