Rusumo one
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 3,541
- 4,458
Inaruhusiwa mtu kuwa nayo au ni haramu Kama bange? IPO connected na satellite?MBONA ZINGINE ZA KUWEKA MIFUKONI ZIPO HAMZIONI TU
Cell Phone Jammers : High Power Portable Signal Jammer for Cell Phone (CDMA GSM DCS PCS 3G)
View attachment 956580
Inaruhusiwa mtu kuwa nayo au ni haramu Kama bange? IPO connected na satellite?
La jiwe labda ni 10GMBONA ZINGINE ZA KUWEKA MIFUKONI ZIPO HAMZIONI TU
Cell Phone Jammers : High Power Portable Signal Jammer for Cell Phone (CDMA GSM DCS PCS 3G)
View attachment 956580
zinatofautiana jamming area labda hiyo kwenye gari itakuwa zaidi km 5 all signal controlledLa jiwe labda ni 10G
Mfano mzuri ni IED . Huwa zinatumia simu kuactivate...Now Days Mabomu mengi yanatumia Mobile phone detonating system (unatumia signal za simu kuyalipuwa) So kwenye gari kama hili kunakuwa na mobile signal jamming let say arround 1Km radius== katika umbali huo akuna any mobile phone controlled bombs litakalolipuka
Pia inaweza ikajam Drone signals Ina uwezo wa kufanya kazi kwenye masafa ya 20MHz to 6000 MHZ. Hivyo basi ina cover from VHF,UHF ,2G,3G,CDMA na ata 4G.
Mfano mzuri ni IED . Huwa zinatumia simu kuactivate...
yale yalikuwa ni masinemayap na ndio kilichofanyika zimbabwe kwa rais mpya emmerson mnangagwa,lakini tunashukuru alinusurika
unasema masinema,, na watu walikufa tafuta hiyo habariyale yalikuwa ni masinema
Kwahyo unataka niambia likwa kwenye msafaara wa raid mtu yeyote mwenye simu ndani ya radius ya 1km haifanyi kazi?Now Days Mabomu mengi yanatumia Mobile phone detonating system (unatumia signal za simu kuyalipuwa) So kwenye gari kama hili kunakuwa na mobile signal jamming let say arround 1Km radius== katika umbali huo akuna any mobile phone controlled bombs litakalolipuka
Pia inaweza ikajam Drone signals Ina uwezo wa kufanya kazi kwenye masafa ya 20MHz to 6000 MHZ. Hivyo basi ina cover from VHF,UHF ,2G,3G,CDMA na ata 4G.
angekufa mnanangwa nisingeiita sinemaunasema masinema,, na watu walikufa tafuta hiyo habari
Wivu, wivuu, wivuuuSikuwahi kushihudia Rais mwenye ulinzi mkali kwa Tz kama JPM hata hilo Mobile jamming system car nimeliona kwenye hii regime na sina hakika kama lilikuwepo kabla so ndugu wanainji kazeni mkanda tu maana ulinzi wa Rais wetu sie tulio wanyonge ni muhimu kwa gharama ya jasho na Damu zenyu
EMPTY BRAIN WEWEangekufa mnanangwa nisingeiita sinema
acha mahaba ya makinikiaEMPTY BRAIN WEWE
Ndio Simu zote,Radio Calls zinakuwa azina network coverage 100%Kwahyo unataka niambia likwa kwenye msafaara wa raid mtu yeyote mwenye simu ndani ya radius ya 1km haifanyi kazi?
Kwahiyo lipo Tanzania? Na hao ni watanzania? Mbona lipo kama gari LA potus?Ndio Simu zote,Radio Calls zinakuwa azina network coverage 100%
Rais wa wanyonge anayeogopa kulipuliwa na wanyonge.