Mkuu C6 Ni kweli ulivyosema hata uchumi wa nchi za Jumuia ya Ulaya tofauti kabisa na uchumi wa nchi za Afrika huwezi kufananisha Uchumi Nchi za ulaya na nchi za Afrika kimaendeleo Au Uchumi wa nchi ya Maekani ukafananisha na uchumi wa nchi za Afrika ni vitu viwili tofauti kabisa asante mkuu kwa darasa lako.uchumi wa tanzania huwezi kulinganisha na marekani au uingereza kwenye hiyo mitandao, dola moja ni mara 1600 ya shilingi ya tanzania, halafu tuchajiwe sawa au wao wachajiwe kama sisi si itakuwa bure...
pili, umahiri wa internet na technolojia ya wenzetu huwezi linganisha na sisi, huku internet kimeo mitandao yooote labda voda wamejitahidi ila wengine hamna kitu hapa...
angalia kwa mtazamo huo,
Tufananishe bei za Mobile Data za Tanzania na AT&T Marekani
AT&T za data ni kama ifuatavyo
Kwa smartphones:
AT&T Data Plus 300MB: $20 for 300MB (31,600/=)
AT&T Data Pro 3GB: $30 for 3GB (47,400/=)
AT&T Data Pro 5GB: $50 for 5GB, with mobile hotspot / tethering (79,000/=)
Kwa Tablets:
AT&T DataConnect 3GB: $30 for 3GB (47,400/=)
AT&T DataConnect 5GB: $50 for 5GB (79,000/=)
Vodacom Tanzania
500 MB -----> 8,000/= $5
2GB -----> 10,000/= $7
5GB -----> 20,000/= 13 Dollars!! Data inayograrimu $50 AT&T Marekani! Ongezeko la 284%
Kwa ushahidi huo natoa hoja kuwa Data Tanzania ni cheap sana, anayepinga aweke vigezo vyake.
Tatizo la TZ ni kuwa TTCL hawajafanya vizuri kwenye kusambaza landline broadband ambayo ndo inatakiwa ibebe mzigo mzito wa downloading na streaming, sema sisi tunategemea mobile kwa kila kitu.

Uchumi ni irrelevant, umaskini wetu haubadilishi cost za kuprovide service na kununua na kuendesha mitambo, tena kwa kukosa infrastructure cost zinaweza zikawa ni kubwa zaidi.
uchumi wa tanzania huwezi kulinganisha na marekani au uingereza kwenye hiyo mitandao, dola moja ni mara 1600 ya shilingi ya tanzania, halafu tuchajiwe sawa au wao wachajiwe kama sisi si itakuwa bure...
pili, umahiri wa internet na technolojia ya wenzetu huwezi linganisha na sisi, huku internet kimeo mitandao yooote labda voda wamejitahidi ila wengine hamna kitu hapa...
angalia kwa mtazamo huo,