Mobile barbershop, karibuni kwa huduma nzuri

Hao watano angalia wasikuzunguke, hakikisha kuna baadhi ya mikakati hawaijui kabisa, walipe vizuri ili kuwapumbaza, kuwa nao karibu sana ila kila mmoja uwe jambo fulani la siri ambalo wengine wanne hawalijui.
Mkuu ndo mwanzo wa kazi kujiajiri wengi.hao 5 baada ya miaka 5 watakuwa hata mia hv nchi nzima.hapo ndo inapoanzia mia 500 mpaka mia 250.wengine watasema kwenye kila watu 10 wanne bureee.mwisho wa siku shule nazo zitanunua mashine za kunyolea. kisha shule kuajiri wanyoaji halafu sisi wazaz tunaunganishishwa pesa ya kunyolea kwenye xul fizi.hapo game litakuwa........!!!?
 
Yaani umetoa ufafanuzi mzuri sana ...
Ona hii .. miaka ya 2000 uandaaji wa mitihani ilikuwa deal, walimu wakanunua computers, wakanunua photocopy wakaweka majumbani kwao wakawa wanafanya wenyewe ...
miaka ya 2005+ Id za wanafunzi zikawa deal .... walimu wakanunua camera, laptop, laminating machine ... hiyo ikavurugika ...
Hivyo hivyo hata hii wataivuruga tu...
 
Hongera kila la heri

don't care for those who ignore you,care for those who are ignoring others for you[\color].

 
Wataivuruga kivipi. ..labda sheria za watoto kunyoa zibadilike waanze kusuka. ...
 
Mwanzo utakuwa mgumu...ila ni wazo zuri sana. Jaribu kuwasiliana na shule husika moja kwa moja.

Utajipatia wateja wakudumu kwa miaka ya baada ya hao wanafunzi kumaliza shule na kuingia mitaani.
 
High thinking capacity.
Mungu aitawale kazi yako.

Post sent using JamiiForums mobile app
 
hongera kwa wazo zuri ongeza juhudi kwenye kulitangaza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…