Mo29-Oktoba29 Tunatoka siku 3!

Mo29-Oktoba29 Tunatoka siku 3!

Matovu Godfrey

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2025
Posts
808
Reaction score
519
Number 3 is a magical number 🔥
Bafo siku 3 na nina imani kila mtanzania amejiandaa ni mwendo wa #OktobaTunatoka
#MO29 is a movement 💪🏽
20251026_062717.jpg
20251026_062908.jpg
20251025_201201.jpg
20251025_201156.jpg
20251025_194208.jpg
20251025_190410.jpg
 
20251026_074136.jpg


Utu umepotea, Ubinadamu umepotea, Tanzania imegeuka uwanja wa kuwinda roho za Watanzania

Mambo kama haya kufanyika kwenye nchi ambayo inatakiwa kutawala kidemokrasia ni hatari sana
 
‼️IMPORTANT‼️
MADAI YETU 👇🏾 MAANDAMANO SI VURUGU‼️
Ndo maana tuliandaa madai yetu mapema! Hawa wahariri na ma celeb waliokuja na tamko sijui onyo hawajajibu hata ishu moja! Ongeleeni haya madai!
Tulijua mtakuja kutufanyia GASLIGHTING sasa mmekwama! Hamjajibu hoja hata moja! Maandamano ni kwa sababu MMEPUUZA wananchi!

These are our demands in a nutshell as the people of Tanzania
We demanded these BEFORE election and the response of @SuluhuSamia and her cabal was more repression
That is why citizens are planning to protest!

20251026_074818.jpg
20251026_074814.jpg

#Oktoba29Tunatoka 🇹🇿 ⚠️ #SamiaMustGo
 
Leo ni siku 200
@TunduALissu amekaa ndani kwa kesi ya mchongo - yote ni kumzuia asishiriki siasa kama ilivyokuwa haki ya kikatiba!
Kesi hakuna na wanajua wanaendelea kumshikilia
Today we mark 200 days of arbitrary detention of Tundu Lissu by @SuluhuSamia
The fake treason case has fallen apart - now they just postponed the case to keep him behind bars!
#FreeTunduLissu
#FreeTunduLissuNow
#MO29

20251026_083151.jpg
20251026_083147.jpg
 
Back
Top Bottom