Mo xtra kinywaji kipya

Mo xtra kinywaji kipya

Mimi nilikuwa muhanga wa azam energy.

Bwana hii kitu ni hatarii sema niliiacha baada ya kuwa na pata na njaa sana hata kama ni kilaa
 
Akasema hii ina nguvu kuliko ile. Hivi vinywaji huwa vina nguvu gani inayozungumziwa? Kwa wale watumiaji wa hivi vinywaji tafadhali vina nguvu gani?
 
Jaribu utaona nguvu yakee ... usipende kuadisiwa
 
Ninasikitika sana ninapowaona wajumbe humu wakihamasishana kunywa hizi energy drinks.

Hakika madhara yake ni makubwa kuliko faida zake na madhara yanadumu kwa miaka mingi na pengine umri wako wote.

Huwa nawaambia wanywaji wa hivi vinywaji ninapokutana nao kila mara "ni heri ukoroge sumu ya panya kidogo kidgo kila mara na unywe kuliko haya ma energy drinks."

Narudia tena madhara yake ni makubwa na yakudumu muda mrefu kuliko faida zake chukua hatua.
 
maradhara yamke mkuu tupate faida....
 
maradhara yamke mkuu tupate faida....

Soma hii report ya WHO iliyochapwa kwenye gazeti la guardian Uk
 
Tuwe makini sana vinywaji hivi vya huyu bwana huwa sivielewi kabisa.
 
Pamoja na kwamba sijatumia hata soda tu kwa muda wa miaka 11 sasa. Sijui hata radha ya hivi vinywaji vyote vipya ikiwa pamoja na juice zote za viwandani. Nakushauri hata wewe mleta uzi achana na hivyo vinywaji,tena unaambiwa kabisa hii ndio ina nguvu zaidi. Hiyo ni hatari sana kwa afya yako
 
Ninasikitika sana ninapowaona wajumbe humu wakihamasishana kunywa hizi energy drinks.

Hakika madhara yake ni makubwa kuliko faida zake na madhara yanadumu kwa miaka mingi na pengine umri wako wote.

Huwa nawaambia wanywaji wa hivi vinywaji ninapokutana nao kila mara "ni heri ukoroge sumu ya panya kidogo kidgo kila mara na unywe kuliko haya ma energy drinks."

Narudia tena madhara yake ni makubwa na yakudumu muda mrefu kuliko faida zake chukua hatua.
Tupe shule
 
Vinywaji vya energy sina zote zinatengenezwa na caffeine ambapo caffeine sio nzuri sanaa kwa matumizi ya afya coz caffeine ni sina moja wapo ya drugs
Kuna aina tofauti ya drugs lakin mainly ni stimulant drugs na depressant drugs

Stimulant drugs zinafanya kazi ya kukucomand tufanye kazi ander normal conditions na huongeza msukumo wa damu ndo maana akina mama wajawazito hawaruhusiwi kuzitumia mfano wa stimulant drugs ni caffeine marijuana etc

Depressant drugs ni drugs amabazo zinakufanya unakaua lazy lazy hivi ukizitumia sanaa mfano wa depressant drugs ni all kind of alcohol
 
Hata sijui mnaongelea madude gani, mie NAKULA HENNESY na TONIC mswanoooo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom