Luno G
JF-Expert Member
- Sep 22, 2012
- 2,550
- 1,852
Ndio wameleta hiyo mo extra sijajua unaionajeAisee unazijua vizuri....ktk zote hizo Mo energy ndio tamu
Ndio wameleta hiyo mo extra sijajua unaionajeAisee unazijua vizuri....ktk zote hizo Mo energy ndio tamu
Bado sijaiona mkuu..hapa nilipo bado haijafikaNdio wameleta hiyo mo extra sijajua unaionaje
Hakika utakufa na mavumbini utarudiPamoja na kwamba sijatumia hata soda tu kwa muda wa miaka 11 sasa. Sijui hata radha ya hivi vinywaji vyote vipya ikiwa pamoja na juice zote za viwandani. Nakushauri hata wewe mleta uzi achana na hivyo vinywaji,tena unaambiwa kabisa hii ndio ina nguvu zaidi. Hiyo ni hatari sana kwa afya yako

NhahahahaaaNadhan Bakhresa atakuja na Azam-Wenge inakuwa ngoma draw mo xtra
haina caffeine? mbona kwenye hiyo chupa caffeine imeandikwaMo wameamua kuachana na mo energy wamekuja na hiyo mo extra ambayo haina caffeine na ndio maana haijapanda bei
![]()
Warnings issued over energy drinks
"Energy drinks could cause public health problems, says WHO study," The Guardian reports. A new review discusses the potential harms of these drinks, especially when they are mixed with alcohol…www.nhs.uk
Soma hii report ya WHO iliyochapwa kwenye gazeti la guardian Uk
kama ni engelishe sifungui link bora nipige mora extera kumi
Kabisa mkuu mimi ni teja wa mo energy
![]()
Warnings issued over energy drinks
"Energy drinks could cause public health problems, says WHO study," The Guardian reports. A new review discusses the potential harms of these drinks, especially when they are mixed with alcohol…www.nhs.uk
Soma hii report ya WHO iliyochapwa kwenye gazeti la guardian Uk
Najua hilo kila mmoja atagusa,lakini si kujirahisi kihivyoHakika utakufa na mavumbini utarudi![]()