Madhara yake hayana tofauti sana na Watumiaji wa Viagra ambapo huonekana wakiwa hodari sana kwa nguvu nyingi wakati husika wa kujamiiana lkn hurudi ktk hali ile ile pale tu waachapo kutumia.Naomba kuuliza nini athari ya hizi energy kiafya?
Akasema hii ina nguvu kuliko ile. Hivi vinywaji huwa vina nguvu gani inayozungumziwa? Kwa wale watumiaji wa hivi vinywaji tafadhali vina nguvu gani?
Kaka tuko pa1, tangu 2010 niliachana na soda, vyakula na vinywaji vya kemikali, nyama nyekundu zaidi ya kula samaki tu.Bahati mbaya hivi vinywaji vyote kuanzia soda na hivi vipya vipya vyote nina mwaka wa 11 situmii mkuu. Wala sina mpango hata wa kuonja
Mengi-Energy , MengiCola, MengitwistMarehemu Mzee Mengi angekua kwenye battle na Mo & Bakhresa basi angekuja na I-ENERGY.. IPP, ITV, I-touch, I-Energy.
r.i.p mzee wetu.
Mengi-Energy , MengiCola, Mengitwist
Kuna energy ya Coca-Cola sijajua kama inazalishwa hapa Coca-Cola kwanza au kule bonite moshiMarehemu Mzee Mengi angekua kwenye battle na Mo & Bakhresa basi angekuja na I-ENERGY.. IPP, ITV, I-touch, I-Energy.
r.i.p mzee wetu.
Asante mkuu kwa kuwajuza kiufasaha mkuu. Hasa hivyo vinywaji wanaviripukia hawa vijana under 30/28 years. Wengi hawana mpango wa kufuatilia kipi kina madhara watumie na kipi hakina madhara. Kizazi cha digital. Hivyo vinywaji naviona tu kwa mbali,naona tu vijana wanavyovilipukia. Nashangaa utasikia hiki kina nguvu sana. Kinywaji kiwe na nyongeza kweli na masharti? Unajua ukitamani kinywaji ujue una kiu. Ukinywa maji kila kitu kinakuwa sawaHakuna ulazima wowote wa kutumia ikiwa baadaye ni kupata madhara chungunzima ktk afya yako zaidi ya ulimbukeni tu wa kuiga iga Watu jinsi wanavyohangaika na kila waonacho mbele yao hawapitwi nacho hata kama kina athari ktk maisha yao kiafya.
Kwanini unywe kinywaji chenye masharti tele?
Hujiulizi kwanini uwekewe masharti mengi ikiwa hicho kinywaji kina faida nzuri kwa afya yako?
Utapungukiwa nini hasa ikiwa hutatumia hicho kinywaji?
Mfano:
Naamini na sitaacha kuamini kamwe kuwa kunywa maji mengi yaliyochemshwa na yasiyo ya baridi ni muhimu sana kwa afya zetu Binadamu, Je nani aliyewahi kukatazwa asinywe maji mengi kwa kigezo cha kuathiri afya yake mwilini?
Azam energy drink ina masharti mengi sana tena si ya kitoto.
MFANO.
*Usinywe zaidi ya kiasi cha chupa 1 kwa siku 1(24hrs)
*Usinywe nusu saa kabla haujaenda kulala
*Mwanamke mjamzito hapaswi kabisa kuinywa
*.....
Sasa hayo mateso yote ya nini? Si bora tu uwe huru kutumia vitu ambavyo uliruhusiwa na Mungu vitokanavyo na matunda, mbegu mbegu, mimea, mizizi na viumbe vilivyomo baharini 7bu ndivyo vinavyoendana na afya zetu Binadamu.
KUMBUKA:
Binadamu tumeumbwa na udongo ndiyomaana penye mimea tofauti ktk ardhi hupatikana na rutuba nzuri kwa kilimo, halikadhalika nasi Binadamu yatupasa tuzingatie vyakula vitokanavyo na visababishi vya rutuba ya ardhi.
Asante pia kwa kanielewa vzr, karibu tena.Asante mkuu kwa kuwajuza kiufasaha mkuu. Hasa hivyo vinywaji wanaviripukia hawa vijana under 30/28 years. Wengi hawana mpango wa kufuatilia kipi kina madhara watumie na kipi hakina madhara. Kizazi cha digital. Hivyo vinywaji naviona tu kwa mbali,naona tu vijana wanavyovilipukia. Nashangaa utasikia hiki kina nguvu sana. Kinywaji kiwe na nyongeza kweli na masharti? Unajua ukitamani kinywaji ujue una kiu. Ukinywa maji kila kitu kinakuwa sawa
Aisee unazijua vizuri....ktk zote hizo Mo energy ndio tamuCaffeine inayotumika kutengeneza enegry ikiwemo mo energy bei yake imepanda maradufu kwenye soko la dunia ndio maana A-one(melt) wametoa hiyo mo extra kama mbadala wa mo energy sahabu hii ya sasa haina caffeine... Ilikuwa either waendelee kuzalisha mo energy afu zije kuuzwa bei juu(nmesikia ingekuwa zaidi 1000Tshs) au watengeneze hiyo mo extra afu bei elekezi ibaki 500Tshs
Hivo ni suala la muda tu kama bei ya caffeine itabaki kuwa juu kama ilivo sasa basi tutalajie energy drinks zote(power ya sayona, turbo ya afya au afiya, power gold ya sippy, energy ya cocacola na energy ya azam) zinazozalishwa Tz nazo either zipande bei au nao waelekee kwenye mwelekeo wa mo extra ya A-one(melt)
Hao wengine wanaweza wakachukua muda kufuata muelekeo wa A-one sababu wanaweza wakawa bado wanamzigo mkubwa store au bado wana caffeine ya kutosha