dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 23,220
- 54,880
eh, interview tenaWana DUA zenu
Wameniita kwenye interview kesho posta
ila hongera
eh, interview tenaWana DUA zenu
Wameniita kwenye interview kesho posta
Kazi ipo mzeeeh, interview tena
ila hongera
Piga paspoti, umevaa jezi ya simba, unabusu nembo au unakoroga kama pape sakhoNgoja Nitaambatanisha na kadi ya Simba ili nipewe kipaumbele zaidi
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Kaka kesho uje na update mimi pia nliomba lakini sjapigiwa simu bado.Wana DUA zenu
Wameniita kwenye interview kesho posta
Nasubiri simu yao japo mwishoni nikajichanganya kdgKaka kesho uje na update mimi pia nliomba lakini sjapigiwa simu bado.
Kila la heriWana DUA zenu
Wameniita kwenye interview kesho posta