Mo Scholarships 2022 (Mo Foundation)

Kwanini sijaomba mkopo HESLB
Je umeomba sponsor sehem nyingine
Ada yako kwa mwaka ni kiasi gani
Sawa tutaendelea kuwasiliana
Ivo tu wameuliza
 
Habari wakuu

Mo scholarships hii ni fursa ya ufadhili wa masomo inayotolewa na Mo Dewji kupitia taasisi ya Mo Foundation, ufadhili huu ni kwa ajili ya malipo ya ada, malipo ya awali ya chuoni pamoja na pesa ya chakula na malazi kwa wanafunzi.

Pia ufadhili huu hutolewa kwa wanafunzi wa ngazi ya masomo ya shahada mwaka wa kwanza (fresh students)na pia hutolewa kwa wanafunzi wa vyuo mbalimbali na kwa mwaka huu watatoa kwa vyuo vya UDSM, NIT, SUZA na UDOM tu.

Dirisha la maombi litafunguliwa kesho tar 22 mpaka tar 29 mwezi huu.

Wanafunzi wenye uhitaji wa ufadhili huu wa kimasomo ni nafasi yao kuchangamkia fursa hii,

Ila nashauri next time tunaomba bilionea huyo asibague vyuo kwani wanafunzi wa vyuo vyote wanauhitaji.
Muslim University of Morogoro tunajiona wapweke. Faculty of Islamic Studies Bachelor of Islamic Studies (Honours).
 
Tumesahaulika na Mwenzetu. Masikitiko naona MoU imeshika hatamu
Hao wa vyuo tajwa bado hawaelewi nini kinaendelea we ndgu yangu waona umesahaulika hizi zingine ni bahati nasibu tu kupata na connection tupu mkuu
 
Back
Top Bottom