mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,276
- 12,336
Shirikisho la kandanda nchini misri limethibitisha kuwa mshambuliaji wake Mohammed Salah maarufu kama "Mo salah" Amekutikana na ugonjwa wa Covid19 wakati akijiandaa na mechi ya kufuzu afcon
Hivyo salah ameondolewa kwenye kambi ya mafarao na tayari amejiweka carantine
Hivyo salah ameondolewa kwenye kambi ya mafarao na tayari amejiweka carantine