Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,888
- 141,536
Nikajua apikua akiongea, akiongea unitagi mkuu, story zao zimenichosha kusikia haziingii akilini
Hapo kwenye red hiyo habari umeipata wapi mkuu?! Mo hakupewa simu na hao watekaji bali alipewa simu na walinzi waliokua eneo lile na kwa vile alikua na namba ya baba yake kichwani ndio akampigia.Tanzania, watekaji wanatoka nchi jirani wanataka hela hawasemi ni kiasi gani halafu wanakuachia wanakupa simu halafu wanaacha bunduki na kupotea
Hapo ndo penyewePolice have not provided additional details....
Tanzania, watekaji wanatoka nchi jirani wanataka hela hawasemi ni kiasi gani halafu wanakuachia wanakupa simu halafu wanaacha bunduki na kupotea
It is a worldwide protocol !Police have not provided additional details....
Afu wanataka kuchoma gari moto lakini wanaogopa...Tanzania, watekaji wanatoka nchi jirani wanataka hela hawasemi ni kiasi gani halafu wanakuachia wanakupa simu halafu wanaacha bunduki na kupotea
Police got in touch by rogue kidnappers before they dumped MO in the fieldsJumamosi usiku mishale ya saa tatu, nikiwa naangalia kipindi cha Justice With Judge Jeanine, ghafla naona habari kupatikana kwa Mo zikipita chini kwenye kioo cha tivii [news ticker ].
Interesting....
View attachment 905571View attachment 905572View attachment 905573View attachment 905574View attachment 905575View attachment 905576View attachment 905577
Mkuu ukichoma moto gari ina maana unazalisha moto mkubwa ukiambatana na moshi na hapo inakua ni rahisi kugundulika hata na mtu aliye mbali.Afu wanataka kuchoma gari moto lakini wanaogopa...
Naunga mkono hoja. Ila nashangaa... sijui tulijuaje kama walikuwa na hiyo nia lakini wakaogopa!Mkuu ukichoma moto gari ina maana unazalisha moto mkubwa ukiambatana na moshi na hapo inakua ni rahisi kugundulika hata na mtu aliye mbali.
Worldwide?It is a worldwide protocol !