mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,793
- 7,165
Mo hataki siasa za kijinga
Kwa kusema ukweli bila kumung`unya maneno Halima mdee kupita uchaguzi ujao jimbo la kawe itakuwa ni muujiza wa karne,jimbo halina jipya,barabara zilikuwa hazipitiki mpaka walipokuja makonda na Meya Sita wakaahidi ndipo baada ya miezi michache barabara zikaanza kutengenezwa.Simlaumu Halima Mdee haya ni matokeo ya Siasa za Tanzania ukiwa mbunge wa jimbo halafu unatoka upinzani sahau kupata maendeleo jimboni kwako.
Kua tajiri sio kua mwanasiasa. Mo Dewj hawezi siasa, na ni mwepesi sana sidhani kama atagombea.
Mmmmmm tuseme unampenda sana au unamutishia?Mo asikubali tena kurudi kwenye Siasa hata kama atashawishiwa NA watawala. Nashauri asikubali kabisa kuingia kwenye Siasa, ajitahidi sana kuzikwepa Siasa NA wanasiasa. Ajiweke kando NA wanasiasa kama alivyo Mzee Bakhressa.
Amuulize Mzee Bakhressa nini kilimkuta mwaka 1995 baada ya yeye kujiingiza kwenye siasa chafu za Tz! Asikubali kugombea tena ubunge wala kujihusisha na siasa kWA namna yoyote ile.
Yanga tutashindaKuna kila dalili mfanyabiashara mkubwa na kada wa CCM ndugu Mohammed Dewji almaarufu 'Mo' atagombea Jimbo la Kawe katika uchaguzi ujao wa 2020.
Inasemekana CCM inamshawishi MO ili akubali kuwa mshindani wa Halima Mdee kwenye Jimbo hilo mwakani.
Mytake;Ufalme wa Halima unaenda kukoma rasmi kwa mwamba huo wa CCM endapo tu utakubali kugombea Jimbo la Kawe.
Maccm hayanaga aibu. Yalimteka alafu eti yanamshawishi agombee ubungeKuna kila dalili mfanyabiashara mkubwa na kada wa CCM ndugu Mohammed Dewji almaarufu 'Mo' atagombea Jimbo la Kawe katika uchaguzi ujao wa 2020.
Inasemekana CCM inamshawishi MO ili akubali kuwa mshindani wa Halima Mdee kwenye Jimbo hilo mwakani.
Mytake;Ufalme wa Halima unaenda kukoma rasmi kwa mwamba huo wa CCM endapo tu utakubali kugombea Jimbo la Kawe.
Mzee umepaniki ila ndio ujiandae kupata maumivu zaidi 2020.Peleka ujinga wako huko! Kuwa tajiri ndio kuna mfanya MTU awe mbunge au mwanasiasa mahiri?
MO alifanya nini Singida? Manji kafanya nini Mbagala? Unadhani wakazi wa Kawe ni wa kupanga foleni kugawiwa kilo ya sukari kama wale was Singida ambao Leo wanasema MO kapoteza muda wao bure!
Miccm sijui kwa nini ni mijinga namna hii, kuwepo kwako JF siku nyingi tulitegemea unaweza kuwa kama MTU mwenye shahada aliyeisoma online lakini kumbe bure tuu, hujifunzi kitu
We jidanganye kama Lugola, hujui ya kesho kwenye siasa. We huna hofu ya 2020 lakini yule mwenye majeshi, polisi na vyombo vyote ana hofu kwa nini?Mzee umepaniki ila ndio ujiandae kupata maumivu zaidi 2020.
Endelea kuota tu. Nani wa kusimamia tume huru? Hawa wa kuomba maridhiano kwa kujipendekeza? Hawa ambao mwenzao ametwangwa risasi wakaishia kutoa matamko tu ya kinafiki?We jidanganye kama Lugola, hujui ya kesho kwenye siasa. We huna hofu ya 2020 lakini yule mwenye majeshi, polisi na vyombo vyote ana hofu kwa nini?
Ni kwa sababu wewe hujitambui na unapumbazwa na propaganda za kina Polepole. Ngoja jamaa wakomae na kupata tume huru ndio somo utalielewa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona kama umekuwa mwoga ghafla hivi? Subiri aingie ndio tutajua na sio kumtabiria makohozi yako hayo.Mo asikubali tena kurudi kwenye Siasa hata kama atashawishiwa NA watawala. Nashauri asikubali kabisa kuingia kwenye Siasa, ajitahidi sana kuzikwepa Siasa NA wanasiasa. Ajiweke kando NA wanasiasa kama alivyo Mzee Bakhressa.
Amuulize Mzee Bakhressa nini kilimkuta mwaka 1995 baada ya yeye kujiingiza kwenye siasa chafu za Tz! Asikubali kugombea tena ubunge wala kujihusisha na siasa kWA namna yoyote ile.
People don't need MO nor CCM rubbish, mnapoteza muda wenu bureKuna kila dalili mfanyabiashara mkubwa na kada wa CCM ndugu Mohammed Dewji almaarufu 'Mo' atagombea Jimbo la Kawe katika uchaguzi ujao wa 2020.
Inasemekana CCM inamshawishi MO ili akubali kuwa mshindani wa Halima Mdee kwenye Jimbo hilo mwakani.
Mytake;Ufalme wa Halima unaenda kukoma rasmi kwa mwamba huo wa CCM endapo tu utakubali kugombea Jimbo la Kawe.
Singida ilimshinda Kawe ataiweza?Kuna kila dalili mfanyabiashara mkubwa na kada wa CCM ndugu Mohammed Dewji almaarufu 'Mo' atagombea Jimbo la Kawe katika uchaguzi ujao wa 2020.
Inasemekana CCM inamshawishi MO ili akubali kuwa mshindani wa Halima Mdee kwenye Jimbo hilo mwakani.
Mytake;Ufalme wa Halima unaenda kukoma rasmi kwa mwamba huo wa CCM endapo tu utakubali kugombea Jimbo la Kawe.
Halima hakuwa mjinga mjinga kugombea Bawacha. Akikosa ubunge kawaida atapewa viti maalamuKuna kila dalili mfanyabiashara mkubwa na kada wa CCM ndugu Mohammed Dewji almaarufu 'Mo' atagombea Jimbo la Kawe katika uchaguzi ujao wa 2020.
Inasemekana CCM inamshawishi MO ili akubali kuwa mshindani wa Halima Mdee kwenye Jimbo hilo mwakani.
Mytake;Ufalme wa Halima unaenda kukoma rasmi kwa mwamba huo wa CCM endapo tu utakubali kugombea Jimbo la Kawe.
Ujinga umeandika..unaonesha jinsi ulivyo kilaza. Kwani Halima anakusanya kodi.Kwa kusema ukweli bila kumung`unya maneno Halima mdee kupita uchaguzi ujao jimbo la kawe itakuwa ni muujiza wa karne,jimbo halina jipya,barabara zilikuwa hazipitiki mpaka walipokuja makonda na Meya Sita wakaahidi ndipo baada ya miezi michache barabara zikaanza kutengenezwa.Simlaumu Halima Mdee haya ni matokeo ya Siasa za Tanzania ukiwa mbunge wa jimbo halafu unatoka upinzani sahau kupata maendeleo jimboni kwako.
Kufungwa kwa simba tu ali panic, mpaka akataka kujitoa kuifadhili, sasa matusi ya nguoni ya siasa atayaweza?
Kwani wapiga kula wa JIMBO LA KAWE ni Management ya Simba mpaka uwe na uhakika watampa kura Mudy?Kuna kila dalili mfanyabiashara mkubwa na kada wa CCM ndugu Mohammed Dewji almaarufu 'Mo' atagombea Jimbo la Kawe katika uchaguzi ujao wa 2020.
Inasemekana CCM inamshawishi MO ili akubali kuwa mshindani wa Halima Mdee kwenye Jimbo hilo mwakani.
Mytake;Ufalme wa Halima unaenda kukoma rasmi kwa mwamba huo wa CCM endapo tu utakubali kugombea Jimbo la Kawe.
Yule hakuwa mbunge wa Singida,alikuwa mgawa fedha na mfadhiliAlipo kuwa Mbunge wa Singida ulikuwa hujazaliwa bado!?
Na Mimi nashangaa, nani awachague Wasaliti wa WatanzaniaKwani 2020 kuna UCHAGUZI??