NTWA MWIKEMO
JF-Expert Member
- Oct 7, 2014
- 733
- 366
Halima Mdee uwezo wake wa kisiasa unaishia kwenye geti la siasa zake.Kwa kusema ukweli bila kumung`unya maneno Halima mdee kupita uchaguzi ujao jimbo la kawe itakuwa ni muujiza wa karne,jimbo halina jipya,barabara zilikuwa hazipitiki mpaka walipokuja makonda na Meya Sita wakaahidi ndipo baada ya miezi michache barabara zikaanza kutengenezwa.Simlaumu Halima Mdee haya ni matokeo ya Siasa za Tanzania ukiwa mbunge wa jimbo halafu unatoka upinzani sahau kupata maendeleo jimboni kwako.