Jimbo la singida mjini aliliwakilisha, lakini tangu aingie bungeni mpaka anatoka hakuwahi kuongea chochote.Kuna kila dalili mfanyabiashara mkubwa na kada wa CCM ndugu Mohammed Dewji almaarufu 'Mo' atagombea Jimbo la Kawe katika uchaguzi ujao wa 2020.
Inasemekana CCM inamshawishi MO ili akubali kuwa mshindani wa Halima Mdee kwenye Jimbo hilo mwakani.
Mytake;Ufalme wa Halima unaenda kukoma rasmi kwa mwamba huo wa CCM endapo tu utakubali kugombea Jimbo la Kawe.
Hiyo mimba inabidi uifanyie Abortion mkuu,. Trump Ni bilionea na ALIANZIA kwenye ubunge kabla ya kuwa Trump.Ni Tanzania pekee mabilionair wanagombea ubunge
Kwani ulishawahi unga mkono Halima kabla ya kuingia madarakani?? ulijua atashinda awali??Kuna kila dalili mfanyabiashara mkubwa na kada wa CCM ndugu Mohammed Dewji almaarufu 'Mo' atagombea Jimbo la Kawe katika uchaguzi ujao wa 2020.
Inasemekana CCM inamshawishi MO ili akubali kuwa mshindani wa Halima Mdee kwenye Jimbo hilo mwakani.
Mytake;Ufalme wa Halima unaenda kukoma rasmi kwa mwamba huo wa CCM endapo tu utakubali kugombea Jimbo la Kawe.
Kua tajiri sio kua mwanasiasa. Mo Dewj hawezi siasa, na ni mwepesi sana sidhani kama atagombea.
Sidhani kama Mo atakubali. Nadhani alishaona madhara ya kuchanganya siasa na biashara alivyokuwa mbunge singida. Leo wakati biashara inamtegemea sana atakubali akapoteze muda badala ya kusimamia biashara ambayo ameikuza sana!!!! Sidhani. Namshauri aachane na siasa kabisa!!! Amuulize owner wa Scandinavia. Tunasikia siasa ndiyo iliyomfilisi!!!!Kuna kila dalili mfanyabiashara mkubwa na kada wa CCM ndugu Mohammed Dewji almaarufu 'Mo' atagombea Jimbo la Kawe katika uchaguzi ujao wa 2020.
Inasemekana CCM inamshawishi MO ili akubali kuwa mshindani wa Halima Mdee kwenye Jimbo hilo mwakani.
Mytake;Ufalme wa Halima unaenda kukoma rasmi kwa mwamba huo wa CCM endapo tu utakubali kugombea Jimbo la Kawe.
Kuna kila dalili mfanyabiashara mkubwa na kada wa CCM ndugu Mohammed Dewji almaarufu 'Mo' atagombea Jimbo la Kawe katika uchaguzi ujao wa 2020.
Inasemekana CCM inamshawishi MO ili akubali kuwa mshindani wa Halima Mdee kwenye Jimbo hilo mwakani.
Mytake;Ufalme wa Halima unaenda kukoma rasmi kwa mwamba huo wa CCM endapo tu utakubali kugombea Jimbo la Kawe.
Toa hiyo avatar uweke ya Magufuli Tafadhali, Obama Siyo mbumbumbu Kama mwenyekiti wakoMkuu,hiyo nimekupa ya ndani kabisa!
Ilikuwa Makonda akapambane naye lakini imeonekana Boniphace kule Ubungo lazima awepo mtu jembe wa kupambana naye ndiposa CCM kimeonelea Makonda abaki Ubungo kummaliza Bon na Mo akammalize Halima.
Mo anapelekwa pale kwa ajili ya jambo moja tu kummaliza Halima.
Unaamini kabisa Makonda anaweza kugombea ubunge Ubungo?! Akijaribu yatakayomkuta yatakuwa zaidi ya yaliyomkuta Kihiyo Temeke.Mkuu,hiyo nimekupa ya ndani kabisa!
Ilikuwa Makonda akapambane naye lakini imeonekana Boniphace kule Ubungo lazima awepo mtu jembe wa kupambana naye ndiposa CCM kimeonelea Makonda abaki Ubungo kummaliza Bon na Mo akammalize Halima.
Mo anapelekwa pale kwa ajili ya jambo moja tu kummaliza Halima.
Nafikiri upinzani hawataki maendeleo kwenye majimbo yao maana hata bajeti siku zote wanapinga zisipite.Kwa kusema ukweli bila kumung`unya maneno Halima mdee kupita uchaguzi ujao jimbo la kawe itakuwa ni muujiza wa karne,jimbo halina jipya,barabara zilikuwa hazipitiki mpaka walipokuja makonda na Meya Sita wakaahidi ndipo baada ya miezi michache barabara zikaanza kutengenezwa.Simlaumu Halima Mdee haya ni matokeo ya Siasa za Tanzania ukiwa mbunge wa jimbo halafu unatoka upinzani sahau kupata maendeleo jimboni kwako.
Mo asikubali tena kurudi kwenye Siasa hata kama atashawishiwa NA watawala. Nashauri asikubali kabisa kuingia kwenye Siasa, ajitahidi sana kuzikwepa Siasa NA wanasiasa. Ajiweke kando NA wanasiasa kama alivyo Mzee Bakhressa.
Amuulize Mzee Bakhressa nini kilimkuta mwaka 1995 baada ya yeye kujiingiza kwenye siasa chafu za Tz! Asikubali kugombea tena ubunge wala kujihusisha na siasa kWA namna yoyote ile.
Ameshauriwa na nani au amelazimishwa?!
#BringBackMo sasa imeleta maana?!
Mkuu,hiyo nimekupa ya ndani kabisa!