MO na Halima Mdee, patachimbika Jimbo la Kawe!

Huyu ni bilonea wa tanzania ila atakua boya wa tanzania kurejesha imani yake kwa waliomteka
 
Mo asikubali tena kurudi kwenye Siasa hata kama atashawishiwa NA watawala. Nashauri asikubali kabisa kuingia kwenye Siasa, ajitahidi sana kuzikwepa Siasa NA wanasiasa. Ajiweke kando NA wanasiasa kama alivyo Mzee Bakhressa.

Amuulize Mzee Bakhressa nini kilimkuta mwaka 1995 baada ya yeye kujiingiza kwenye siasa chafu za Tz! Asikubali kugombea tena ubunge wala kujihusisha na siasa kWA namna yoyote ile.
Nani kakwambia bakhresa hajiusishi na siasa
 
MO?!!!!
CCM nembo yake ni jembe na nyundo, hakuna nembo ya mfanya biashara hapo.
Hata kama sio Halima lakini awaachie wengine nao wakakae mjengoni wagange njaa
 
Kuna kila dalili mfanyabiashara mkubwa na kada wa CCM ndugu Mohammed Dewji almaarufu 'Mo' atagombea Jimbo la Kawe katika uchaguzi ujao wa 2020.

Inasemekana CCM inamshawishi MO ili akubali kuwa mshindani wa Halima Mdee kwenye Jimbo hilo mwakani.

Mytake;Ufalme wa Halima unaenda kukoma rasmi kwa mwamba huo wa CCM endapo tu utakubali kugombea Jimbo la Kawe.
Go Mo, go please!
 
Mkuu,hiyo nimekupa ya ndani kabisa!

Ilikuwa Makonda akapambane naye lakini imeonekana Boniphace kule Ubungo lazima awepo mtu jembe wa kupambana naye ndiposa CCM kimeonelea Makonda abaki Ubungo kummaliza Bon na Mo akammalize Halima.

Mo anapelekwa pale kwa ajili ya jambo moja tu kummaliza Halima.
Peleka ujinga wako huko! Kuwa tajiri ndio kuna mfanya MTU awe mbunge au mwanasiasa mahiri?
MO alifanya nini Singida? Manji kafanya nini Mbagala? Unadhani wakazi wa Kawe ni wa kupanga foleni kugawiwa kilo ya sukari kama wale was Singida ambao Leo wanasema MO kapoteza muda wao bure!
Miccm sijui kwa nini ni mijinga namna hii, kuwepo kwako JF siku nyingi tulitegemea unaweza kuwa kama MTU mwenye shahada aliyeisoma online lakini kumbe bure tuu, hujifunzi kitu
 
Mkuu,hiyo nimekupa ya ndani kabisa!

Ilikuwa Makonda akapambane naye lakini imeonekana Boniphace kule Ubungo lazima awepo mtu jembe wa kupambana naye ndiposa CCM kimeonelea Makonda abaki Ubungo kummaliza Bon na Mo akammalize Halima.

Mo anapelekwa pale kwa ajili ya jambo moja tu kummaliza Halima.
Halafu anajiuzulu ubunge au ndio analinda mali zake?
 
Kwa kusema ukweli bila kumung`unya maneno Halima mdee kupita uchaguzi ujao jimbo la kawe itakuwa ni muujiza wa karne,jimbo halina jipya,barabara zilikuwa hazipitiki mpaka walipokuja makonda na Meya Sita wakaahidi ndipo baada ya miezi michache barabara zikaanza kutengenezwa.Simlaumu Halima Mdee haya ni matokeo ya Siasa za Tanzania ukiwa mbunge wa jimbo halafu unatoka upinzani sahau kupata maendeleo jimboni kwako.
Kawe wapiga kura wake hawawezi kununuliwa kwa chumvi na dagaa , muulize kilichompata mtoto wa Warioba , usifananishe Kawe na kwenu Chamwino
 
Kuna kila dalili mfanyabiashara mkubwa na kada wa CCM ndugu Mohammed Dewji almaarufu 'Mo' atagombea Jimbo la Kawe katika uchaguzi ujao wa 2020.

Inasemekana CCM inamshawishi MO ili akubali kuwa mshindani wa Halima Mdee kwenye Jimbo hilo mwakani.

Mytake;Ufalme wa Halima unaenda kukoma rasmi kwa mwamba huo wa CCM endapo tu utakubali kugombea Jimbo la Kawe.

Yara yara yara yara....

Blah blah blah blah...
 
Kwa kusema ukweli bila kumung`unya maneno Halima mdee kupita uchaguzi ujao jimbo la kawe itakuwa ni muujiza wa karne,jimbo halina jipya,barabara zilikuwa hazipitiki mpaka walipokuja makonda na Meya Sita wakaahidi ndipo baada ya miezi michache barabara zikaanza kutengenezwa.Simlaumu Halima Mdee haya ni matokeo ya Siasa za Tanzania ukiwa mbunge wa jimbo halafu unatoka upinzani sahau kupata maendeleo jimboni kwako.

Kwa hiyo yale maneno ya mkulu kwamba maendeleo hayana vyama ni muendelezo wa tabia yake ya ulaghai na hadaa?
 
Kuna kila dalili mfanyabiashara mkubwa na kada wa CCM ndugu Mohammed Dewji almaarufu 'Mo' atagombea Jimbo la Kawe katika uchaguzi ujao wa 2020.

Inasemekana CCM inamshawishi MO ili akubali kuwa mshindani wa Halima Mdee kwenye Jimbo hilo mwakani.

Mytake;Ufalme wa Halima unaenda kukoma rasmi kwa mwamba huo wa CCM endapo tu utakubali kugombea Jimbo la Kawe.
Kama Mo ni mwamba wa CCM....... basi hatuna chama!
 
Kuna kila dalili mfanyabiashara mkubwa na kada wa CCM ndugu Mohammed Dewji almaarufu 'Mo' atagombea Jimbo la Kawe katika uchaguzi ujao wa 2020.

Inasemekana CCM inamshawishi MO ili akubali kuwa mshindani wa Halima Mdee kwenye Jimbo hilo mwakani.

Mytake;Ufalme wa Halima unaenda kukoma rasmi kwa mwamba huo wa CCM endapo tu utakubali kugombea Jimbo la Kawe.
Kwa hali ilivyo mpaka sasa ni vigumu Halima kushinda tena jimbo hili.Kesi,vikwazo vya kila namna.Hakuna jinsi litakwenda CCM mchana kweupe.
 
Kama
Kuna kila dalili mfanyabiashara mkubwa na kada wa CCM ndugu Mohammed Dewji almaarufu 'Mo' atagombea Jimbo la Kawe katika uchaguzi ujao wa 2020.

Inasemekana CCM inamshawishi MO ili akubali kuwa mshindani wa Halima Mdee kwenye Jimbo hilo mwakani.

Mytake;Ufalme wa Halima unaenda kukoma rasmi kwa mwamba huo wa CCM endapo tu utakubali kugombea Jimbo la Kawe.
MO anataka aibu ajaribu aone.
 
Mkuu,hiyo nimekupa ya ndani kabisa!

Ilikuwa Makonda akapambane naye lakini imeonekana Boniphace kule Ubungo lazima awepo mtu jembe wa kupambana naye ndiposa CCM kimeonelea Makonda abaki Ubungo kummaliza Bon na Mo akammalize Halima.

Mo anapelekwa pale kwa ajili ya jambo moja tu kummaliza Halima.
We kiaz yaaan Bashite ni asset naye CCM. Duh
 
Kuna kila dalili mfanyabiashara mkubwa na kada wa CCM ndugu Mohammed Dewji almaarufu 'Mo' atagombea Jimbo la Kawe katika uchaguzi ujao wa 2020.

Inasemekana CCM inamshawishi MO ili akubali kuwa mshindani wa Halima Mdee kwenye Jimbo hilo mwakani.

Mytake;Ufalme wa Halima unaenda kukoma rasmi kwa mwamba huo wa CCM endapo tu utakubali kugombea Jimbo la Kawe.
Ubunge wa Kawe hauwezi kumuondolea Fedheha ya Kutekwa na Kuliwa Buzz
 
Back
Top Bottom