Hivi unajua matatizo wewe? Mtu amekufa kwa amani tu ni matatizo? Kifo ni kitu kigeni kwako? Hali ya Mengi mlikua hamuioni? Au mlitegemea kisa ni tajiri basi asingekufa?Mtoa maada anauliza mbona wahindi wakipata matatizo huja mbele kutafuta huruma ya wananchi?
Mbona sisi tukipata matatatizo wao hukosa ushirikiano?
Wakipata matatizo na wew usiende mkuu kwani tatizo liko wapi. Africa tunathamini sana mtu akishakufa sijui kwaninisijwasikia social media TV media Wala karimjee kumuaga mpendwa wetu mbona wengine tunajitoa mkipata matatizo .sio poa
Acha uchochezi wa ki mbwa wewe utafirwasijwasikia social media TV media Wala karimjee kumuaga mpendwa wetu mbona wengine tunajitoa mkipata matatizo .sio poa
Hivi unajua matatizo wewe? Mtu amekufa kwa amani tu ni matatizo? Kifo ni kitu kigeni kwako? Hali ya Mengi mlikua hamuioni? Au mlitegemea kisa ni tajiri basi asingekufa?
Mtu akishakufa anatakiwa apumzishwe kaburini aombewe tu alale pema basi. Haya mambo ya kutaka kila mtu ajitokeze hadharani aongelee msiba sidhani kama ni jambo la busara.
Kuna wengi sana ambao wameguswa na huu msiba lakini sio lazima kila mtu atokee publicly azungumzie. Huo muda hautoshi wa kila mtu afanye hivyo.
Choke on it!
Umesema ni "muhimu" lakini ujue kuwa sio "LAZIMA".Hapo mi nakukatalia kwenye misiba mikubwa watu wenye ushwishi ktk jamii ni muhimu watokee hata kusaini kitabu cha maombelezo
Jomba nipe break asee usinichoshe akili yangu kukuelewesha mtu usiekuwa na uwezo wa kupambanua mambo kwa kutumia akili bali hisia.Acha ubishi wa kijinga wewe kwa kutetea ujinga
Hao mabwana sio watu wakuchangamana ungesema hivyo tungekuelewa acha kuropoka
Mwinyi na uzee wake kafika itakuwa hao?
Jomba nipe break asee usinichoshe akili yangu kukuelewesha mtu usiekuwa na uwezo wa kupambanua mambo kwa kutumia akili bali hisia.
Whatever man. Beat it!Mjinga moja usiweza hata kueleza ndio unataka ueleweke
hili nalo neno dadaHalafu ndo huwa mnawapiganiaaaaa.mnavuka bahari kwa watu ambao hawawezi vuka hata kijito kwa ajili yenu.
dansmith unasahau Manji alikuwa anatofautiana naye na mara ya mwisho walikuwa na kesi mahakamanisijwasikia social media TV media Wala karimjee kumuaga mpendwa wetu mbona wengine tunajitoa mkipata matatizo .sio poa
Labda mleta thread hii ana daftari anaandika mahudhurio.Watanzania wengi watakufa na akili bikra zisizotumika Kwn wasipotoa salam za rambi rambi mait haitozikwa? Na kama wametoa privite, pamoja na yote ayo wakitoa wasitoe ww unapungukiwa na nn? Acha ujinga kafanye kazi
Uzungu wa kiasi hiki hatujafikia bado. Tumefundishwa kushirikiana kwenye shida na Raha.Watanzania tuache upumbavu wa kifikra. Hujasikia wewe lakini sio lazima kila kitu kiwe public, watu wengine hawapendi kiki hasa kwenye mambo kama misiba.
Salamu zao za rambirambi utajuaje kuwa wamezifikisha kwa familia ya marehemu privately?
Acheni ujinga fanyeni mambo ya msingi.
Wewe una uhakika gani kuwa hawajaonyesha ushirikiano? Au na wewe ni member wa familia ya Mengi? Au kuonyesha ushirikiano ni kuita press conference au kufika kwenye msiba personally?Uzungu wa kiasi hiki hatujafikia bado. Tumefundishwa kushirikiana kwenye shida na Raha.
Kabisawatu wanaishi kwa Code ... we tulia waachie mambo yao .. hao na wewe mnaishi dunia mbili tofauti ... na fasiri yako ya matukio kama haya ni tofauti sana na hao jamaa wanavyoya tafsiri