Hata mimi naamini wanaoshikiliwa hawajui chochote. Hao waliofanya hili tukio ni watu ambao wapo oganize vizuri sana.Ni siku ya 3 sasa tajiri na mmoja kati ya watu walioajiri vijana wengi zaidi TZ haonekani.
Baada ya wiki watakaobaki na maumivu ni familia pekee huku jeshi la polisi litazidi kujinasibu kushikilia watu ambao kiuhalisia hata hawaelewi chochote.
Mipango ya kumteka mtu kama Mo haiwezi fanywa na zaidi ya watu 5 tena wanaofahamiana vyema. Naona kabisa nafasi ya Mo kuonekana akiwa salama ni ndogo sana. Yote kwa yote Ulinzi wa Mungu umuangazie huko aliko Jeshi letu halitaweza kamwe kufanikisha kumpata
Una maanisha nini mkuuKuna wakat ni bora ujiteke mwenyewe kuogopa fedheha ya kuswekwa ndani kama akina manji na Seth na ruge
Mmmh mkuu hebu weka vizuri hapoUna maanisha nini mkuu
Mother ConfessorYani hii movie bora ingesimamiwa na sultan tamba ingekuwa ishaisha,. jamaa zero sana mfyuuuu[emoji57]...
#bringbackmo#
Umeona ehhKuna wakat ni bora ujiteke mwenyewe kuogopa fedheha ya kuswekwa ndani kama akina manji na Seth na ruge