Mo endelea kuiga iga bidhaa za watu

Mo endelea kuiga iga bidhaa za watu

Aaron Arsenal

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2014
Posts
24,498
Reaction score
28,720
Kampuni tanzu ya METL Group inayotengeneza sabuni ya unga ya Mo Cleansoft imeshindwa katika shauri lililofunguliwa na Keds Tanzania Co. Ltd kwa kutengeneza na sabuni zinazoshabihiana na bidhaa yake ya Kleesoft. Tume ya ushindani (FCC) imesema METL imeiga jina na kuleta mfanano.

Source: Swahili times
 
Bakhresa ni Sunni ndiyo maana sadaka zake ndiyo mnaziona maana Sunni Waswahili ni wengi. Mo yeye Shia anatoa kwa Shia wenzie huko Upanga. Uswahilini Shia wa kuhesabu

Sadaka kwa Mujibu wa Uislam haiangalii Dini, Kabila wala jinsia

Sadaka anapewa kila mwenye uhitaji

Ukianza kutoa Sadaka kwa ubaguzi kwa Mujibu wa Uislam tafuta jina lingine ila usiite Sadaka kwa mujibu wa Sheria na taratibu A Swadaqah

Tukirudi kwenye mada: hata Nembo ya sasa ya MO katohoa style ya nembo ya Azam

Kashindwa kuingiza Boti z usafirishaji kuhofia kilichomkuta Scandinavia ambae alitahadharishwa akapuuza
 
Ndio biashara za kibongo zilivyo. Unafungua duka la mangi hapa, ukianza kupiga hela na majirani wanafungua mawili kukuzunguka.

Na ndo maana biashara zinakua ngumu ukianzisha kitu wabongo wanacopy mi na project yangu naikatia vibali vyote nkidaka mtu asee mtamfirisi mpk na ukoo wake wote


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Tatizo jamaa anachukua graduates na anawalipa kidogo sana sijui huo ubunifu watatolea wapi?



Sent using Jamii Forums mobile app

Yani ukienda kwa Mo wafanyakazi wanadegree zao wanalipwa 300k mpk 200k ila kwa BAKHRESA Sasa dereva tu analipwa 600k na hapa ndo utofauti ulipo asee , Mo utajiri wake ni wa kibahiri sana asee na kinyonyaji Management na Marketing Team hana atabaki kukopy sana tu


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Back
Top Bottom