Artifact Collector
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 6,539
- 10,007
Dewjicni mganga njaa tu kama walalhoi wengine, mshahara wake mwenyewe haumtoshi, kazi kuomba omba hela kwa bodi ya wakurugenzi, ndio alipe 20 bilion?
UTOPOLO BHANA!! sasa atatoaje wakati mchakato haujakamilika, na una dosari na upande wapili wataweka lini maana MO anatoa b 20 kwa hisa 49% so upande wa simba nao inatakiwa waweke pesa zao. Propaganda za kiutopolo huwa hazi zai matunda Katu!!.Ni Tanzanian pekee mwekezaj anaanza kunufaika matunda ya kampuni bila hata ya kutoa ela ya umiliki (hisa) haya ndo maajabu ya afrika
Na mwekezaj anapoambiwa ela ya umiliki wa hisa anakua mbogo, swali la kujiuiza mo dewji ameachwaje miaka mitatu bila hata ya kuchukuliwa hatua na mamlaka husika.
Mfano timu za ulaya huwezi enda miliki timu kienyeji enyeji na kijanja Kama anavyofanya Mo dewji, na lazima kuwe na uwazi juu ya mikataba inayoingia, mfano jezi ya Simba imejaa matangazo ya dewji je ni shilingi ngapi timu inapata.
Kwa nchi nyingine dewji angetakiwa apigwe penalty, na billion 20 sio kuja kusema Mara timu inapata hasara hizo ni janja janja.
Simba na Yanga ziko Kama zilivyo na zitabaki Kama zilivyo Kama zikiendelea na wawekezaj Kama dewji au Manji, na hata gsm anachofanya Yanga ni njia zile zile za kienyeji enyeji
Anaona watu ni wajinga ndo anachokera, huwez enda miliki Voda pasipo kununua hisa (share),Haya Maigizo Ya Mizengwe!
Basi asifanye maamuzi kwenye timu sababu Hana authority anunue hisa asilimia 49 alafu ndo mambo mengine yaendeleeUTOPOLO BHANA!! sasa atatoaje wakati mchakato haujakamilika, na una dosari na upande wapili wataweka lini maana MO anatoa b 20 kwa hisa 49% so upande wa simba nao inatakiwa waweke pesa zao. Propaganda za kiutopolo huwa hazi zai matunda Katu!!.
UTOPOLO MTAJIJU!!ππ
Katiba imempa hiyo authority sio mchakato wa mabadiliko!!Basi asifanye maamuzi kwenye timu sababu Hana authority anunue hisa asilimia 49 alafu ndo mambo mengine yaendelee
Sasa hapo miaka mitatu anafanya nini wakati mkataba bado?? Elewa kwanzaππUTOPOLO BHANA!! sasa atatoaje wakati mchakato haujakamilika, na una dosari na upande wapili wataweka lini maana MO anatoa b 20 kwa hisa 49% so upande wa simba nao inatakiwa waweke pesa zao. Propaganda za kiutopolo huwa hazi zai matunda Katu!!.
UTOPOLO MTAJIJU!!ππ
Pesa gani sasa wakati wao tayari wana klabu yenye thamani, hivyo wanatoa sehemu ya klabu kwenda kwa Mo kwa 20 billion, sasa waweke pesa gan tenaUTOPOLO BHANA!! sasa atatoaje wakati mchakato haujakamilika, na una dosari na upande wapili wataweka lini maana MO anatoa b 20 kwa hisa 49% so upande wa simba nao inatakiwa waweke pesa zao. Propaganda za kiutopolo huwa hazi zai matunda Katu!!.
UTOPOLO MTAJIJU!!ππ
Kijana unatafuta kulogwa ?Ni Tanzanian pekee mwekezaj anaanza kunufaika matunda ya kampuni bila hata ya kutoa ela ya umiliki (hisa) haya ndo maajabu ya afrika
Na mwekezaj anapoambiwa ela ya umiliki wa hisa anakua mbogo, swali la kujiuiza mo dewji ameachwaje miaka mitatu bila hata ya kuchukuliwa hatua na mamlaka husika.
Mfano timu za ulaya huwezi enda miliki timu kienyeji enyeji na kijanja Kama anavyofanya Mo dewji, na lazima kuwe na uwazi juu ya mikataba inayoingia, mfano jezi ya Simba imejaa matangazo ya dewji je ni shilingi ngapi timu inapata.
Kwa nchi nyingine dewji angetakiwa apigwe penalty, na billion 20 sio kuja kusema Mara timu inapata hasara hizo ni janja janja.
Simba na Yanga ziko Kama zilivyo na zitabaki Kama zilivyo Kama zikiendelea na wawekezaj Kama dewji au Manji, na hata gsm anachofanya Yanga ni njia zile zile za kienyeji enyeji
Kabla ya Mo kuja Simba ilikuwa na mafanikio ya makombe tayari, yeye sio chanzo Cha kuifanya Simba ishinde makombeKwa sasa tumempa uhuru jezi ajaze MO, kama unataka kamyanganye timu na kufanya anacho fanya hatuhitaji 20B bali timu inayoshinda na kuwa borana afrika mashariki na kati huku kuwa Bora Afrika mipango ikiwa mezani kwahilo mo Ameweza