Mzee wa kucheza na akili za wanasimba (Mo dewji) atajitokeza Tena baada ya simba kupigwa na Wydad

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Oct 6, 2016
10,288
12,789
Boss wa Simba (mo dewji), kwa hivi Sasa yupo kimya hatutosikia kelele/Wala kulia kwenye gari kwa kuwa Simba inapata matokeo mwamba yupo chimbo anasubiri Simba ipigwe aanzishe tour yake yakuwananga wanasimba/pamoja na vitisho vya kuwataja viongozi wa Simba wanaoihujumu Simba sc.

Mtindo huu huwa anaufanya (mo dewji) endapo Simba itafungwa, hii ni trick ya kukwepa kuhojiwa/kulaumiwa kuwa amewekeza pesa nyingi katika timu lakini wachezaji mbona hawafikii hiyo bajeti??
Kwa waliosoma Cuba nafikiri walishamuelewa boss janja janja ni kipi huwa anakwepa.

Baada ya mechi ya wydad vs Simba na Simba itakapo fungasha vilango baada kuchezea kichapo Cha 3+ kwa mtungi, mwamba (mo dewji) lazima ataibuka Tena kama kawaida yake/Kama tulivyomzoea kulalamika na kutupa lawama kwa viongozi wa Simba kuwa wanaihujumu Simba sc.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Boss wa Simba (mo dewji), kwa hivi Sasa yupo kimya hatutosikia kelele/Wala kulia kwenye gari kwa kuwa simba inapata matokeo mwamba yupo chimbo anasubiri Simba ipigwe aanzishe tour yake yakuwananga wanasimba/pamoja na vitisho vya kuwataja viongozi wa Simba wanaoihujumu Simba sc.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kwani Jana hukumsikia baada ya game? Alishasema kwake Mpira ni burudani siyo biashara anafanya kazi ya kanisa over
 
Boss wa Simba (mo dewji), kwa hivi Sasa yupo kimya hatutosikia kelele/Wala kulia kwenye gari kwa kuwa Simba inapata matokeo mwamba yupo chimbo anasubiri Simba ipigwe aanzishe tour yake yakuwananga wanasimba/pamoja na vitisho vya kuwataja viongozi wa Simba wanaoihujumu Simba sc.

Mtindo huu huwa anaufanya (mo dewji) endapo Simba itafungwa, hii ni trick ya kukwepa kuhojiwa/kulaumiwa kuwa amewekeza pesa nyingi katika timu lakini wachezaji mbona hawafikii hiyo bajeti??
Kwa waliosoma Cuba nafikiri walishamuelewa boss janja janja ni kipi huwa anakwepa.

Baada ya mechi ya wydad vs Simba na Simba itakapo fungasha vilango baada kuchezea kichapo Cha 3+ kwa mtungi, mwamba (mo dewji) lazima ataibuka Tena kama kawaida yake/Kama tulivyomzoea kulalamika na kutupa lawama kwa viongozi wa Simba kuwa wanaihujumu Simba sc.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Wewe mbona unawashwa sana na mambo ya Simba,huna la kujadili la utopolo yako iliyo chini ya kubwa la wakwepa Kodi GSM?
 
Back
Top Bottom