πππππππΆππ€¨π€Sasa hii inatuhusu nini?
ππππππππππππΆππ€¨π€
Field marshalNakucheki tuView attachment 1685264
Siwezi, Uzi umepoteza ladha.Jikite kwenye hoja
Ni fursa ya propaganda kwa chama chetu sisiemuMy take.
Hii ina maana gani kwa chadema wanaokesha wakipinga kila kitu kinachofanywa na rais Magufuli?
Swali zuri Sana,Kwani wewe unawalipaje watanzania?
90% ya kampuni za hawa kanjubai zina mishahara duni Sana kwa wazawa. Serikali ya viwanda isipoangalia itajikuta imezalisha manamba wengi sana.Kwa hiyo mishahara ya 150,000 kwa mwezi anayowapa?