Hata viongozi wa uto nao ni hivyo hivyo. Rais wa uto alisema uwanja unaanza kujengwa 'kesho'. Ni mwezi/miezi imepita je ujenzi umeanza?. Hizo klabu mbili sio za kuzichukulia serious sana kama una akili timamu.Nakaaga najiuliza why huyu jamaa anakuwaga na ahadi nying za mdomoni kwa wanasimba anawaonaje?mara ntafanya hiki,ntajenga kile,itakuwa hivi ni kwanini? Alipiga picha na Juventus kwamba wameingia makubaliano na Simba,mara Gerard Pique,mara uwanja mara blahblha anawaonaje huyu?
mhasibu kama mhasibu anahesabu pesa za ahadi za Mo zilizopo BANKWapi okwi boban sunzu aka Kipenzi Changu
Pesa zipo BankKanjibhai in one & two