Mnyoosho wa vyombo vya Habari kwa Bashite

muzi

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2016
Posts
1,047
Reaction score
1,473
Asante, heshima na shikamooo vyombo vyote vya habari ambavyo vinajitambua vinafahamu sheria na taratibu na haziyumbishwi na mtu yeyote. Yule aliyejiona ni mungu wa DAR kwa sasa anapumulia mashine ya Tbc. Alijiona yeye ndo anajua kazi kuliko viongozi wote maana kila uchwao anaandikwa mpaka viongozi wengine wa kada yake walikatishwa tamaa sana. Nilishawahi kusema kwa ulimwengu wa sasahivi MEDIA zinaweza kukukuza na kukupoteza kwa sekunde. Asanteni sana kwa umoja wenu wa kumpotezea na kumchinjia baharini huyu aliyejiona yupo juu ya vyote chini ya jua. Msiripoti wala kuandika chochote juuu yake mpaka atakapoo,mba radhi lakini kwa kuwa anajiona kijogoo mwacheni alivyo. Tbc ambayo imekosa watazamaji na kupoteza taswira kwenye jamii wacheni wamkumbatie maana sasa hana namna nyingine.
Bravo UNITY IS POWER and BASHITE is NOTHING to you
 
Kumbe bado mnuwaza tu? Mwenyewe hana habari anapiga kazi kimya na mshahara uko pale pale, hao waandishi uchwara makonda anaweza kuwalisha maisha yao yote

Viva makonda
 
Hakuna Watu ambao sasa nawadharau kunakotukuka kama TBC1 na TBC Taifa kwani nakumbuka kabisa wakati Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Christian Makonda hajahitilafiana na Vyombo vya Habari Binafsi ambavyo kimsingi ndivyo viliweza kumjenga na kumpa kiburi chote na zile jeuri zote alizokuwa nazo ni yeye huyu huyu Makonda alikuwa akiwapuuza na kuwadharau mno TBC kwa ujumla wake na bahati nzuri hata Wafanyakazi wenyewe wa TBC hasa Waandishi wa Habari hili wanalijua kwani tumekaa nao mno na tulikuwa tunakutana nao sana vilingeni na kutwa walikuwa wakimponda na kumlaumu Makonda kwa kuwabagua lakini cha kushangaza sasa ametoswa na Media zilizokuwa zikimsapoti na karudi kulamba matapishi yake kwa TBC na wao wa u hovyo hovyo wao sasa wameungana nae na wanampa publicity kila uchao. Hopeless kabisa TBC1 na TBC Taifa.
 
Kumbe bado mnuwaza tu? Mwenyewe hana habari anapiga kazi kimya na mshahara uko pale pale, hao waandishi uchwara makonda anaweza kuwalisha maisha yao yote

Viva makonda
Siwezi kubishana na mbuzi mchanga aliyeingia kwenye forum ndani ya wiki mbili, since you know NOTHING on platform politics. Short minded kufikiri mshahara is everything in this life, take your on time men!
 
Hahahah..wenzako walishaacha kumuandika..wew bado unamukumbuka..maana makonda sio mwanasiasa ni mfanya kazi wanserikali hivyo kutoandikwa na kuandikwa kote hakuna tofauti sana sana ni kuwakosesha habari za msingi wananchi wanaoweza kunufaika na jambo fulani
Ukichunguza sana kutomuandika kunafunika pia na issue yake vyeti..mara makonda mara bashite..ashafaulu huu mtihani wenu.
 
Mleta mada mwenyewe ndo anamfiatilia makonda kama kamuona TBC na kumuandika tujue yeye naye ni mmoja wa mashabiki wake
 
Makonda ni mkuu wa mkoa wa Dar es salaam.
Nyie mnamaliza sori za viatu kutafuta habari yeye anakula kwa mrija.
Dua la kuku halina impact kwa mwewe.
Mtangaze msitangaze jamaa anachapa kazi na salary, respect yake iko pale pale kama mteule wa rais
Waambie hao manyumbu, mi nilijua wasipomwandika mshahara hapati, kumbe mshahara na cheo kipo pale pale, kwanza hawachoki tu kumuongelea tu? Yani makonda anawanyima usingizi, ila namkubali jamaa kanyamaza kimya anawadharau tu
 
Hata kwa Mungu kama unakubalika kwa raisi tu bado utakuwa na kasoro nyingi tu, haiwezekani mamilioni ya watu mioyo yao inalalamika kwa ajili yako. Aendelee kuvamia na kuteka maana magu amemwandalia mbingu yake
 
Kumbe bado mnuwaza tu? Mwenyewe hana habari anapiga kazi kimya na mshahara uko pale pale, hao waandishi uchwara makonda anaweza kuwalisha maisha yao yote

Viva makonda
ANAWEZA KUWALISHA KWELI MAANA HERA ZA UNGA NAGENGE LAKE LA GSM SIYO MCHEZO!
 
Siwezi kubishana na mbuzi mchanga aliyeingia kwenye forum ndani ya wiki mbili, since you know NOTHING on platform politics. Short minded kufikiri mshahara is everything in this life, take your on time men!
Mbwa wewe achana na makonda, Ana uwezo wa kulisha ukoo wenu mzima bwege wewe, kushindana na mtu ambaye hata hakujui uwepo wako duniani ni wendawazimu, kutwa makonda mnashindwa kuondoa umaskini mnamuwaza makonda mbwa nyie, mtaishia hivyo hvyo, jamaa ndo mkuu wa mkoa, hutaki rudi kijjini kwanza dar sio kwenu mbwa wewe
 
Hata kwa Mungu kama unakubalika kwa raisi tu bado utakuwa na kasoro nyingi tu, haiwezekani mamilioni ya watu mioyo yao inalalamika kwa ajili yako. Aendelee kuvamia na kuteka maana magu amemwandalia mbingu yake
Watu mnadhani serikali inaendeshwa kwa maneno ya clouds na Gwajima peke yake
Serikali ikifanya hivyo itakua ni serikali ya hovyo duniani.
 
Hahahah..wenzako walishaacha kumuandika..wew bado unamukumbuka..maana makonda sio mwanasiasa ni mfanya kazi wanserikali hivyo kutoandikwa na kuandikwa kote hakuna tofauti sana sana ni kuwakosesha habari za msingi wananchi wanaoweza kunufaika na jambo fulani
Ukichunguza sana kutomuandika kunafunika pia na issue yake vyeti..mara makonda mara bashite..ashafaulu huu mtihani wenu.
Wenyewe wanajua wasipomuandika wanamkomoa kumbe ndo kwanza jamaa anapumua maana mlizidi, sasa hivi anafanya kazi kwa amani, mshahara unaingia tu taratibu mamas, mbona watajinyonga
 
Kumbe bado mnuwaza tu? Mwenyewe hana habari anapiga kazi kimya na mshahara uko pale pale, hao waandishi uchwara makonda anaweza kuwalisha maisha yao yote

Viva makonda
Nakumbuka ulisema wewe galton ndio warumi pia. Hongera kwa kukwepa ban kwa kufungua account nyingine kwa hisani ya bashite. Maana bila wewe na cocochenel basi bashite hana watetezi humu JF
 
Watu mnadhani serikali inaendeshwa kwa maneno ya clouds na Gwajima peke yake
Serikali ikifanya hivyo itakua ni serikali ya hovyo duniani.
Wanadhani serikali inaongozwa na mange kimambi, mbona watachora chini, kwanza wengi wanaomponda makonda sio watu wa dar wametoka vijijini so ni vyema wakarudi huko watuachie makonda wetu
 
Makonda ni mkuu wa mkoa wa Dar es salaam.
Nyie mnamaliza sori za viatu kutafuta habari yeye anakula kwa mrija.
Dua la kuku halina impact kwa mwewe.
Mtangaze msitangaze jamaa anachapa kazi na salary, respect yake iko pale pale kama mteule wa rais
Sijui ulienda kufuata nini shule
 
Hakuna aja ya kuendelea kumtaja taja ni zaid ya kuendelea kumpa promo.. Kama vyombo vilishakubaliana ya nini kuendelea kumtaja taja.. Mbona hamjiamini.. Sijaona jambo lolote lililofanywa na Makonda, na taarifa zikashindwa kufika kwa wananchi
 
Hahahah..wenzako walishaacha kumuandika..wew bado unamukumbuka..maana makonda sio mwanasiasa ni mfanya kazi wanserikali hivyo kutoandikwa na kuandikwa kote hakuna tofauti sana sana ni kuwakosesha habari za msingi wananchi wanaoweza kunufaika na jambo fulani
Ukichunguza sana kutomuandika kunafunika pia na issue yake vyeti..mara makonda mara bashite..ashafaulu huu mtihani wenu.
Kama angekuwa mwanaume wa shoka na anajihami, angejitokeza hadharani na kukanusha tuhuma juu yake ya kuvamia clouds, kujipatia mali kwa haraka, kutumia vyeti na majina ya watu, kuteka nk. Kwa kuwa amekaa kimya yeye ni Mr. ZERO tu... na akili ya wenye zero ndo maana anafanya mambo ya kipuuzi
 
Waambie hao manyumbu, mi nilijua wasipomwandika mshahara hapati, kumbe mshahara na cheo kipo pale pale, kwanza hawachoki tu kumuongelea tu? Yani makonda anawanyima usingizi, ila namkubali jamaa kanyamaza kimya anawadharau tu
Cheo ni dhamana jamani, hajawekwa pale kwa ajili ya mshahara au kula...
Noeni akili zenu
 
Back
Top Bottom