Mnyoosho wa vyombo vya Habari kwa Bashite

Mnyoosho wa vyombo vya Habari kwa Bashite

Wewe ndo NOTHING in this platform. Kwa akili zako za kwenye kijiko unadhani Makonda bila media hafanyi kazi. Au unadhani Makonda media zinampa kick gani. It's so hard to live with the fools around you.
If the platform is nothing, what are you doing here? Why wasting your time writting and reading the threads here? Unana sasa akili zako zilivyo za kijiko and how fools you are writting rubbish here, get-out here ukalime if the platform is nothing to you
 
Asante, heshima na shikamooo vyombo vyote vya habari ambavyo vinajitambua vinafahamu sheria na taratibu na haziyumbishwi na mtu yeyote. Yule aliyejiona ni mungu wa DAR kwa sasa anapumulia mashine ya Tbc. Alijiona yeye ndo anajua kazi kuliko viongozi wote maana kila uchwao anaandikwa mpaka viongozi wengine wa kada yake walikatishwa tamaa sana. Nilishawahi kusema kwa ulimwengu wa sasahivi MEDIA zinaweza kukukuza na kukupoteza kwa sekunde. Asanteni sana kwa umoja wenu wa kumpotezea na kumchinjia baharini huyu aliyejiona yupo juu ya vyote chini ya jua. Msiripoti wala kuandika chochote juuu yake mpaka atakapoo,mba radhi lakini kwa kuwa anajiona kijogoo mwacheni alivyo. Tbc ambayo imekosa watazamaji na kupoteza taswira kwenye jamii wacheni wamkumbatie maana sasa hana namna nyingine.
Bravo UNITY IS POWER and BASHITE is NOTHING to you
Cha ajbu bado mnamuandika humu Jamii forums 😀😀😀
 
Back
Top Bottom