Mnyoosho wa vyombo vya Habari kwa Bashite

Mnyoosho wa vyombo vya Habari kwa Bashite

Poleni sana
vyombo vyenyewe Uchwara
kutwa udaku kuliko maendeleo ya mwananchi
kwangu mie napenda waendelee hivyo hivyo
kuandikwa na wanafiki ni hasara kuliko faida.
Makonda mwisho wa mwezi kodi inatoka kwenye vyombo hivyo hivyo
na kumlipa mshahara
poleni sana
 
Kumbe bado mnuwaza tu? Mwenyewe hana habari anapiga kazi kimya na mshahara uko pale pale, hao waandishi uchwara makonda anaweza kuwalisha maisha yao yote

Viva makonda
Hamjitambui
Makonda ni mkuu wa mkoa wa Dar es salaam.
Nyie mnamaliza sori za viatu kutafuta habari yeye anakula kwa mrija.
Dua la kuku halina impact kwa mwewe.
Mtangaze msitangaze jamaa anachapa kazi na salary, respect yake iko pale pale kama mteule wa rais

Hahahah..wenzako walishaacha kumuandika..wew bado unamukumbuka..maana makonda sio mwanasiasa ni mfanya kazi wanserikali hivyo kutoandikwa na kuandikwa kote hakuna tofauti sana sana ni kuwakosesha habari za msingi wananchi wanaoweza kunufaika na jambo fulani
Ukichunguza sana kutomuandika kunafunika pia na issue yake vyeti..mara makonda mara bashite..ashafaulu huu mtihani wenu.

Mleta mada mwenyewe ndo anamfiatilia makonda kama kamuona TBC na kumuandika tujue yeye naye ni mmoja wa mashabiki wake

Waambie hao manyumbu, mi nilijua wasipomwandika mshahara hapati, kumbe mshahara na cheo kipo pale pale, kwanza hawachoki tu kumuongelea tu? Yani makonda anawanyima usingizi, ila namkubali jamaa kanyamaza kimya anawadharau tu

ANAWEZA KUWALISHA KWELI MAANA HERA ZA UNGA NAGENGE LAKE LA GSM SIYO MCHEZO!
 
Sijui ulienda kufuata nini shule
We unadhani kumpinga Makonda ndo kudhihirisha usomi wako?
Huna ushahidi wa tuhuma juu ya makonda sasa unashupaza shingo kuungana na watu wanaompinga kwa sababu zao bila wewe kujua unachokifanya?
Tafakari kati ya mimi nawewe bendera fuata upepo nani hajaenda shule
 
Hamjitambui
Wewe unayejitambua umeifanyia nini Tanzania zaidi kulilia Makonda afukuzwe?
Watu maskini tuna tabu sana yaani hata ushahidi huna ila unafuata upepo ukisikia chama flani wanampinga kiongozi fulani nawewe umoooo
 
Hahaha hamna maana hata ww umeifanyia nn tz na makonda anakupa hata sent yake[emoji23] [emoji23] [emoji23] kujipendekeza fanya yako
 
Kumbe bado mnuwaza tu? Mwenyewe hana habari anapiga kazi kimya na mshahara uko pale pale, hao waandishi uchwara makonda anaweza kuwalisha maisha yao yote

Viva makonda

Anaendeleza utapeli na wizi kimya kimya.
 
We unadhani kumpinga Makonda ndo kudhihirisha usomi wako?
Huna ushahidi wa tuhuma juu ya makonda sasa unashupaza shingo kuungana na watu wanaompinga kwa sababu zao bila wewe kujua unachokifanya?
Tafakari kati ya mimi nawewe bendera fuata upepo nani hajaenda shule
Mkuu nimekuuliza vile baada ya kuandika upupu hapo juu, wala sijasema chochote kuhusu Makonda...
Nimeangalia dhima yako tu....
Juu ya kula, kulipwa mshahara kwa mkuu wa mkoa
 
Hahaha hamna maana hata ww umeifanyia nn tz na makonda anakupa hata sent yake[emoji23] [emoji23] [emoji23] kujipendekeza fanya yako
Sijipendekezi wala simchukii Makonda maana sina hata ushahidi wa kunifanya nimchukie, wala sikai Dsm wala Makonda sijawahi kumuona uso kwa uso, sina kadi ya chama chochote cha siasa.
Fuatilia post zangu humu jf uone kama nina chama
Sasa wewe unaanzaje kumchukia mtu bila kua ushahidi wa tuhuma zake? Huoni unashiriki bifu la watu na mashosti wao, wagombane wenyewe alafu wanakupitia twende tukamsute fulani nawewe unatoka mbio mbio bila kuvaa malapa.
 
Sijipendekezi wala simchukii Makonda maana sina hata ushahidi wa kunifanya nimchukie.
Sasa wewe unaanzaje kumchukia mtu bila kua ushahidi wa tuhuma zake? Huoni unashiriki bifu la watu na mashosti wao, wagombane wenyewe alafu wanakupitia twende tukamsute fulani nawewe unatoka mbio mbio bila kuvaa malapa.
Duniani huwezipendwa na wote hata ww kuna watu hawakupendi tu hata bila sababu ukipendwa na wote jua unakasoro
 
Hakuna Watu ambao sasa nawadharau kunakotukuka kama TBC1 na TBC Taifa kwani nakumbuka kabisa wakati Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Christian Makonda hajahitilafiana na Vyombo vya Habari Binafsi ambavyo kimsingi ndivyo viliweza kumjenga na kumpa kiburi chote na zile jeuri zote alizokuwa nazo ni yeye huyu huyu Makonda alikuwa akiwapuuza na kuwadharau mno TBC kwa ujumla wake na bahati nzuri hata Wafanyakazi wenyewe wa TBC hasa Waandishi wa Habari hili wanalijua kwani tumekaa nao mno na tulikuwa tunakutana nao sana vilingeni na kutwa walikuwa wakimponda na kumlaumu Makonda kwa kuwabagua lakini cha kushangaza sasa ametoswa na Media zilizokuwa zikimsapoti na karudi kulamba matapishi yake kwa TBC na wao wa u hovyo hovyo wao sasa wameungana nae na wanampa publicity kila uchao. Hopeless kabisa TBC1 na TBC Taifa.
Muogope binadamu anaetumia tumbo kwa mambo mengi ikiwemo kufikiri!
 
Makonda ni mkuu wa mkoa wa Dar es salaam.
Nyie mnamaliza sori za viatu kutafuta habari yeye anakula kwa mrija.
Dua la kuku halina impact kwa mwewe.
Mtangaze msitangaze jamaa anachapa kazi na salary, respect yake iko pale pale kama mteule wa rais
Respect mnampa nyie msiojielewa
 
Kumbe bado mnuwaza tu? Mwenyewe hana habari anapiga kazi kimya na mshahara uko pale pale, hao waandishi uchwara makonda anaweza kuwalisha maisha yao yote

Viva makonda
Na kwa kauli hii, naona unalishwa wewe tayari
 
Respect mnampa nyie msiojielewa
Wewe na mimi hata tukimdharau Makonda bado haina impact brother.
Tufanye kazi tutunze familia zetu, dona na sembe vimepanda bei kweli kweli[emoji23] [emoji23]
 
TBC ni TV iliyozorota na haina ubunifu ndiyo maana iko nyuma. Na inategemea ruzuku hivyo lazima iendelee kumuonyesha Bashite.
 
Hakuna Watu ambao sasa nawadharau kunakotukuka kama TBC1 na TBC Taifa kwani nakumbuka kabisa wakati Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Christian Makonda hajahitilafiana na Vyombo vya Habari Binafsi ambavyo kimsingi ndivyo viliweza kumjenga na kumpa kiburi chote na zile jeuri zote alizokuwa nazo ni yeye huyu huyu Makonda alikuwa akiwapuuza na kuwadharau mno TBC kwa ujumla wake na bahati nzuri hata Wafanyakazi wenyewe wa TBC hasa Waandishi wa Habari hili wanalijua kwani tumekaa nao mno na tulikuwa tunakutana nao sana vilingeni na kutwa walikuwa wakimponda na kumlaumu Makonda kwa kuwabagua lakini cha kushangaza sasa ametoswa na Media zilizokuwa zikimsapoti na karudi kulamba matapishi yake kwa TBC na wao wa u hovyo hovyo wao sasa wameungana nae na wanampa publicity kila uchao. Hopeless kabisa TBC1 na TBC Taifa.
Pamoja na yote lazima tujue TBC ni chombo cha habari cha serikali plus bashite ni mtumishi wa serikali. Bashite anatekeleza ilani ya chama cha mapinduzi ambayo kimsingi ndio sera kwa sasa na TBC wajibu wake kuonesha mafanikio yake, sasa kama asipomulikwa watanganyika wataonaje mafanikio ya mtukufu?

Ukweli unabaki kua TBC haiwezi kugomea kutoa taarifa za kiserikali
Ni mawazo yangu
 
Mbwa wewe achana na makonda, Ana uwezo wa kulisha ukoo wenu mzima bwege wewe, kushindana na mtu ambaye hata hakujui uwepo wako duniani ni wendawazimu, kutwa makonda mnashindwa kuondoa umaskini mnamuwaza makonda mbwa nyie, mtaishia hivyo hvyo, jamaa ndo mkuu wa mkoa, hutaki rudi kijjini kwanza dar sio kwenu mbwa wewe
Tunajibu hoja kwa kutumia hoja, kunitusi unajipalia makaa ya mawe kichwani kwako maana mshahaa wa dhambi majibu yake unayo. Lakini mdau hapo juu anakujua vizuri kubadili nick name kutoka warumi kuja galton kwa kuzuia BAN na matusi yako kwenye forum, keep moving brother
 
Siwezi kubishana na mbuzi mchanga aliyeingia kwenye forum ndani ya wiki mbili, since you know NOTHING on platform politics. Short minded kufikiri mshahara is everything in this life, take your on time men!
Wewe ndo NOTHING in this platform. Kwa akili zako za kwenye kijiko unadhani Makonda bila media hafanyi kazi. Au unadhani Makonda media zinampa kick gani. It's so hard to live with the fools around you.
 
Back
Top Bottom