Nawashangaa sana unaposema apunguze kuomba miongozo Bungeni ina maana awe anaonewa na aseme NDIYO MZEE KILA WAKATI?????UBUNGO mna JEMBE la nguvu yawezekana hamjui tu kulitumia ila kama yeye kazi anawatumikia wanainchi wote si wa Ubungo tu bali Watanzania wote.kwako muheshimiwa john mnyika, nakupongeza kwa kazi nzuri unayoifanya, lakini nakuomba upunguze kuomba miongozo bungeni na ujikite zaidi kayika kututetea watu wa ubungo tuliokuweka hapo, huku maji tabu na barabara haswa za kibangu hazipitiki, tunakuamini tafadhali usifanye kama keenja kwani 2015 sio mbali. kamilisha ahadi zako tafadhali
Yalipo magamba utajua tu maana maneno yao yanafanana sana mara LIWALO NA LIWE,Mara Alienda kutumbu kanisani tukamkamata,Mara Suala hilo liko mahakamani tusilizungumzie,mara ANABOA Lakini yote kwa yote watu hawa ni DHAIFU na mawazo yao ni Dhaifu.dah huyu mnyika mi hata simuelewi,kila siku ye lazma asimame hata km hoja yke haina mashiko utamuona tu.halafu cku hizi kapata mwenzie pale mjengoni naye mapepe ile mbaya si mwingine ni dogo nasali.hawa jamaa km vile wako darasani tena std 7.nadhan km vile mnyika alikua anataka kufikia level za zitto na mdee ila wenzie huwa hawasimami kila siku,kwa kawaida zitto au mdee akisimama ujue moto utawaka ila hawa mnyika na nasali wanaboa siku hizi.
Bwana washawashwa inatakiwa atie timu kwenye jimbo la stela matomato ili wakatembeze kisago kama kile cha singida ili hawa wabunge vichomi wa sisiemu washike adabu.
Yalipo magamba utajua tu maana maneno yao yanafanana sana mara LIWALO NA LIWE,Mara Alienda kutumbu kanisani tukamkamata,Mara Suala hilo liko mahakamani tusilizungumzie,mara ANABOA Lakini yote kwa yote watu hawa ni DHAIFU na mawazo yao ni Dhaifu.
mkuu si ungejibu hoja kwanza, brabraa baadayeyalipo magamba utajua tu maana maneno yao yanafanana sana mara liwalo na liwe,mara alienda kutumbu kanisani tukamkamata,mara suala hilo liko mahakamani tusilizungumzie,mara anaboa lakini yote kwa yote watu hawa ni dhaifu na mawazo yao ni dhaifu.
I was think in jamii forums there really great thinker kumbe there also poor thinker.....you find facts of what you are talking hujui anachokifanya mbunge wetu you keep quiet. Hauwezi kupata solution ya tatizo without knowing the root cause of that problem. you first analyze your ideas before post them here.dah huyu mnyika mi hata simuelewi,kila siku ye lazma asimame hata km hoja yke haina mashiko utamuona tu.halafu cku hizi kapata mwenzie pale mjengoni naye mapepe ile mbaya si mwingine ni dogo nasali.hawa jamaa km vile wako darasani tena std 7.nadhan km vile mnyika alikua anataka kufikia level za zitto na mdee ila wenzie huwa hawasimami kila siku,kwa kawaida zitto au mdee akisimama ujue moto utawaka ila hawa mnyika na nasali wanaboa siku hizi.