Serayamajimbo
Senior Member
- Apr 15, 2009
- 191
- 40
Na wewe una hoja?Huko chadema mnapenda kujikosha.ile skendo ya NSSF imeishia wapi
majembe kazini.
limeni popote katika ardhi tuliyopewa na mwenyezi mungu ikiwa na utajiri kibao lakini kuna watz wenzetu wanauza kwa wajeni kwa kibaba cha uji.
vizazi vitawakumbuka kwa hii kazi iliyotukuka mliyoamua kuifanya na mungu atawalipa.
Huko chadema mnapenda kujikosha.ile skendo ya NSSF imeishia wapi
Zitto endelea kufanya kazi iliyotukuka mpaka saed kubenea atubie dhambi ya kukuchafua kwa miaka mi nne mfululizo bila ya mafanikio,matokeo ya kazi zako hata wabaya wako Chadema wameanza wameanza kuiona!!!
kazi nzuri na nawapapongezi kwa jitihada zenu za kutaka watanzania siku moja wawe na maisha mazuri. kwani mmekuwa mkiwasaidia hawa ccm ili kupitia ninyi waweze rudisha imani yao kwa wananchi juu ya yale waliokuwa wakijitapa kuwa watabolesha maisha y kila mtanzania lakini kinyume chake wamekuwa wakijifanya hilo hawalioni. mimi nawambia njia ya mwongo ni fupi na ipo cku ambayo inakuja ya mwaka 2015 itakavyokujawadabisha. CHADEMA endelehen kujipanga kila cku hasa juu ya suala zima la kuwawezesha wananchi wawezekuondokana na umasikini. MNYIKA, ZITO PONGEZI SANAAAA......
Hamna kitu hapo wakuu.Zitto anatupiga changa la macho.Issue hii ya mashamba ya mkonge aliitoa bungeni kama hoja binafsi ambayo siyo Mnyika au viongozi wake wengine walikuwa wanaifahamu.Tetesi ni kwamba alitumwa na mbunge mmoja tajiri wa CCM mwenye asili ya kiarabu ambaye anaendesha kampuni flani jijini DAR kusambaza mambo ya vyakula maji,mafuta nk,na wanamashamba mengi mnoo kila kona ya nchi.kwamba huyu jamaa baada ya kujaribu bila mafanikio kujimilikisha na kunyanganya wakulima wadogowadogo mashamba yao ili alime mkonge akaamua kumtuma zito aiingize bungeni ili apate support pia ionekane ni issue yenye maslahi kwa wananchi wakati ni kwa maslahi yake mwenyewe.ndio maana pia zito aliitoa kama hoja binafsi.baada ya kuona watu walishashtukia lengo lake kajaribu kumuingiza Mnyika ili kupotezea.sijawahi kumsikia kiongozi yeyote wa CDM beside Zitto ambaye ameigusia hoja hiyo ya mkonge.kuna issue za muhimu ambazo zinatugusa wananchi Zitto alitakiwa kuzipigania kama suala la muswada wa katiba.sio suala la mkonge ambalo sidhani kama lina umuhimu kwa manufaa ya wananchi wote.mbona katiba wakati wenzake wanapigania kubadilisha ule muswada yeye zitto alikuwa kimyaaaa kama hayupo vile.baada ya viongozi wenzake kufanikiwa kumshawishi Mh Jakaya ndio zitto akajitokeza na kudai ile idea aliitoa yeye kupitia kwa marehemu Regia.Behind the scene kwenye hoja yake ya mkonge inajulikana,kwamba mtu aliyetoa pesa kuhonga ili issue ya mkonge ipatiwe attention na kufanya raia waamini kama ni suala la maslahi ya taifa pia anajulikana.kama ni suala la kufufua mazao ya biashara mbona simwoni simwoni zitto akiongelea mazao mengine kama kahawa,tumbaku,karafuu nk?kwanini afunge mpaka safari kwenda kufanya mkutano wa hadhara tanga kwaajili ya kutetea mkonge.Mkonge ungekuwa unalimwa jimboni kwake atleast ingemake sense kwamba wale wakazi wa jimbo lake wangefaidika na ajira nk.Wakuu sisi ndio wadanganywa lakini kwa mwenye macho haambiwi tazama.Positivity and much blessings!
nakukumbusha hapa tunajadili hoja ya mh.Zitto na Mnyika juu ya ufufuaji wa zao la mkonge na uchumi kwa jumla sasa wewe unaibua hoja mpya ya NSSF.kama unataka iandikie thread yake ili wanajamvi waijadili unajua hata kama wewe ni mjinga sio lazima kuuonyesha ujinga wako kwa kila mtu,.jadili mada usijadili mtu!!kama kuna kashfa unajua iweke wazi na vielelezo ijadiliwe!!Huko chadema mnapenda kujikosha.ile skendo ya NSSF imeishia wapi
nakukumbusha hapa tunajadili hoja ya mh.Zitto na Mnyika juu ya ufufuaji wa zao la mkonge na uchumi kwa jumla sasa wewe unaibua hoja mpya ya NSSF.kama unataka iandikie thread yake ili wanajamvi waijadili unajua hata kama wewe ni mjinga sio lazima kuuonyesha ujinga wako kwa kila mtu,.jadili mada usijadili mtu!!kama kuna kashfa unajua iweke wazi na vielelezo ijadiliwe!!