Mnyika wa baadae

Mnyika wa baadae

kweleakwelea

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2010
Posts
3,075
Reaction score
1,550
wandugu wapendwa,

nimeikuta hii pale kwa michuzi juniour nikaipenda....

JIACHIE

kichwa cha habari ni mwana umleavyo ndivyo....

nampa pongezi baba wa mtoto huyu....mie nilishashona kombati na mama watoto....nilipoenda kushona za makinda yangu nikashauriwa niache wakue kidogooooo walau wamfikie huyu dogo....

I WOULD LOVE TO SEE THIS YOUNG FELLOW IN THE PARLIAMENT WHEN I AM ABOUT TO RETIRE!!

pamoja sana!!
 

Attachments

  • MNYIKA WA BAADAYE AKITEMBEA.JPG
    MNYIKA WA BAADAYE AKITEMBEA.JPG
    15.8 KB · Views: 201
kweli mnyika wa baadae kwai ashaanza kuandamana..
 
Duh hii tam, kweli tuna generations to come!
 
I like it very much,i have to find mine.very nice
 
attachment.php


Duh anaonekana atakuwa hodari sana kwa maandamano.
 
Nimekunwa sana! Naenda kumshonea mwanangu!!

Fundi anayeshona haya magwanda yuko TUNDUMA.nitawasiliana naye niwapatie contacts zake ndiye anayeshona ya viongozi na wana-CDM wengine wanaohitaji VAZI HILI LENYE KUSISIMUA
 
mh naomba contact za huyo fundi jamani kwe ume2pa changamoto
 
mh naomba contact za huyo fundi jamani kwe ume2pa changamoto

Cmu yake haipatikani lakini usiku nitampata leo uck au kesho asubuhi nitaiweka ufanye mawasiliano naye.Nakuhakikishia jamaa mkali kwa ku-design magwanda, wana-Tunduma wanatoka kwa design za CDM kama kawa.Kesho chaliii
 
duh! i like it! kwa mtindo huu hili pepo la ufisadi sasa mwisho.
 
Tukiendelea na style hii, mafisadi wa baadae watapata tabu sana,
ngoja nami nikamshonee mwanangu pia
 
Back
Top Bottom