Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,393
- 14,500
Katibu mkuu wa Chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA John Mnyika akiongea katika mdahalo uliofanyika kidigital kupitia mtandao wa Zoom mapema leo.
🤣🤣🤣 Mbona wewe unajitoa? Unakua muoga Hadi kuandika?Vijana mliowaambia ni taifa la kesho sasa wameshakuwa wanataka taifa lao
Mimi ni mwenyekiti wao🤣🤣🤣 Mbona wewe unajitoa? Unakua muoga Hadi kuandika?
Kwahiyo mnataka taifa lenu. Nipo nyuma yenu 🙏Mimi ni mwenyekiti wao
Baada ya uchaguzi mkuu kuvurugika siku ya Octoba 2025, ni hapo ndipo sikio la kufa la CCM lilianza kusikia, na hapo watawala waliaanza kujifunza kuhusu nguvu ya vijana.Katibu mkuu wa Chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA John Mnyika akiongea katika mdahalo uliofanyika kidigital kupitia mtandao wa Zoom mapema leo.