Mnyika: The majority Political Dream

Tatizo CDM sio taasis ni kama mali ya MBOE hvi! hvyo wapiganaji waoga hawasemi lolote ndan bal nje tunauona ushujaa wao.
 
Hata zzk alikuwa hivyo...watu walimkubali lkn mbowe &lema wakaona atawafunika...chezea kasikazini wewe
 
Kila mtu ana uzuri na ubaya wake, kitu muhimu ni kumwelewa mwenzako, kuvumiliana na kuaminiana.
 
Yap I like Mnyika, he is a good politician & for sure he is my ROLE MODEL since five yrs ago not Zitto!!!!!
 
Mmeanza tena. Ya Zito yalianza hivyo hivyo.Kumpa sifa mara una msimamo, mara bila yeye CHADEMA haipo nk. Kavimbisha kichwa sasa kafikia ukingoni kisiasa

Mnyika anajitambua, Zitto akiambiwa wewe ni mwanasiasa msomi halafu akavuta picha ya alipotoka, kichwa kinavimba, kiburi na dharau kibao. CDM kutimua hawa jamaa ni fundisho tosha kwa manasiasa
 

Ukweli mtupu umesema Mkuu, Huyu Kijana ni wa aina yake kwani hapendi kujikweza, nadhani anajua kuwa ajikwezaye hushushwa na ajishushaye hukweza. Atafika mbali sana kiuongozi na kisiasa, kwani watanzania watamkweza siku moja kwa vile anastahili. Inshallah Mungu akubariki Kijana.
 
siasa ni ungo, maigizo, hakuna mwana siasa anae aminika, kwa chadema bado awamjui M2 huenda ni Mnyika, tundu lissu, maana mnyika ameanza kusifiwa sana na maccm hasa Lukuvi.
 
Mnyika ni mtupu! Lakini kwenye jamii yetu watupu ndio wanasiasa wazuri, so yes I agree ni mzuri sana... Ila expect nothing!!!e.g. Huwezi linganisha hoja za Mnyika na Zitto bungeni ni mbali saana, sayari ya Mercury na Pluto!
 

ajaribu kugombea uenyekiti basi tuone hizo sifa kama zitadumu. ukiwa kondoo kumbe unapendwa!
 
Sijawai kumsikia mnyika akitoa hoja za kujijenga binafsi Kama Ndugu Zitto.

____nimepigania hoja ya buzwagi
____nimepigania hoja ya fedha za Uswiss
------nimepigania saini kumwajibisha waziri mkuu
_____nimepigani,.........

HOja za chama hamna Hapo zaidi ya umaarufu binafsi
 
Mnyika ni mzuri sana, ila tu anaogopa bosi zake huyoo.
Ila he knows what he want and how to get it.

kuna tofauti ya heshima na woga....ndio maana askari anaweza chukua amri hata asiyoipenda kwa kamanda wake while anaweza akamlipua tu .......
 
Usimsifu sana c unajua c vijana tukisifiwa tu basi ujue ndo mwanzo wa kuaribu..
 
naona umekuja kujifanyia promo mwenyewe. jisifie bwana usisubiri kusifiwa, hahaaa!
 
Mnyika ni mzuri sana, ila tu anaogopa bosi zake huyoo.
Ila he knows what he want and how to get it.

mnyika ni kama fisi.chochote atakachosema slaa au mbowe ye anafuata tu hata kama hapendi.akili zake mboe na slaa wamezishikilia hawa ndo vifaranga maana popote mama yao atakapokwendana wenyewe wanakwenda
 
ajaribu kugombea uenyekiti basi tuone hizo sifa kama zitadumu. ukiwa kondoo kumbe unapendwa!
mkuu wewe ndo umeongea kila kitu. na huo ndo ukweli. ajaribu tu kugombea kiti cha mteule wa hayatula mtei wa tengeru ndo utajua kama hizo sifa anazo au hana.
kwangu mimi Zitto ni bora mbali sana nikilinganisha na mnyika. simaanishi kuwa mnyika ni boya, big NO, ni mzuri kupita wengi sana ila kwa zitto ni sawa na mlima kilimanjaro (zitto) na hanang (mnyika)
 
Huyu ndo aliyemwita Rais eti Dhaifu kijana haogopi huyu anaikashifu taasisi!

Nimefurahi uliibua hoja hii ambayo inamwonyesha Mnyika akiwa na hoja huipeleka Hadi mwisho, bila woga wowote. Tofauti na wale watatu ambao mmoja Zitto alikuwa anazidi cheo badala ya kujadili madhaifu ya chama ndani ya kikao wanajifungia ofisi za serikali DUCE kuandika issues ambazo zingewezwa kujadiliwa kwenye vikao, hata Kama ni kuchomekea Kama mengineyo.

John ni jasiri lakini mwenye he kima na heshima!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…