Mnyika: Sina mpango wa kuhama CHADEMA

Title ya thread ingekuwa hivi:
Mwananchi yamsaidia Mnyika kukanusha tetesi za kuhama Chadema!!
 
Sidhani kama mnyika atakubali yamkute yaliyomkuta Machali!
 
Well said. ....
 
Title ya thread ingekuwa hivi:
Mwananchi yamsaidia Mnyika kukanusha tetesi za kuhama Chadema!!
Au

Ndugu Jingalao Alazimisha Kusikia Mnyika Anahama CDM.

Kwa sababu either of the two,hakuna lenye tija kwa Taifa!

Kila siku watu ni uvyama uvyama inakera sana. Maslahi mapsna ya Taifa, Sera za Taifa hazizungumzwi badala yake ni issue Personal, Itikadi za vyama na bla bla kibao.
 
Siasa zina "timing" zake mahakama ya mafisadi ndio itasababisha upepo wa Siasa ubadilike.

Subirini watu wapandishwe kizimbani ndio hapo mtajua mbivu na mbichi
 
Mnyika hama uje ACT, huko soon utapoteza dira yako.Chama kina laana ya dk.Slaa.
 
Tunaomba akanushe na zile tetesi zinazosema hakubaliani na ujio wa Lowasa ili tumweke kwenye kundi la kina Msigwa.
 
Kila cku wanaibuka wasemaji wa mnyika...
 
Nilikuwa najiuliza kuwa angetokea mtu kuzusha kuwa John Pombe Joseph Magufuli ndiye "time bomb" linalosubiri kulipuka huko CCM kwa kuhama badala ya John Mnyika wa CHADEMA, nadhani ingeaminika zaidi eti kuliko huu uzushi unaoenea kumhusu JJM.....

I think, that makes more sense than this!

I don't get it kwa uzushi wa wazee wa propaganda wa CCM wakisaidiwa na wale wa "kitengo maalumu" wa serikali chini ya serikali, kwamba lengo lao ni nini hasa.....kuiua CHADEMA siyo?

Lakini binafsi, I hope watashindwa ile mbaya kwa sbb wakati wa J.K Mrisho nguvu iliyowekezwaga kukiua hiki chama ililuwa ni kubwa na iliyopangiliwa zaidi kuliko mbinu za hawa "washamba" wa sasa ambao mikakati yao wanaipanga wakati wa mchana wa jua kali huku kila mtu akiona!!
 

We ndugu kuna Uzi kule kuhusu tamko la Boss wenu Lowassa kuwataka muacheni issue za uhanarakati ili muwe chama cha siasa, wewe huonekani kumbe umejificha huku.

Haya nenda kule haraka,unahitajika
 
Kila jambo linaanza na tetesi
Nyie vijana wa lumumba hukumu yenu kutoka kwa mungu itakuwa kubwa sana,mnakaa na kumzushia mtu mambo ya ajabu?mtalaaniwa sana nyie
 
Hata Dr. Slaa na Prof. Lipumba hawakuhama vyama. Mnyika ni rafiki yangu. Ninachojua ni kwamba John Mnyika na Halima Mdee wanaenda ACT-Wazalendo ambapo anaenda kuwa GS. It's a matter of time.
Wana uhuru wao wa kuchagua,wacha kuwasemea unakuwa kama zuzu tu mitandaoni kwani wakihama wao ndio watakuwa wakwanza kuhama chama cha siasa?
 
Mnyika anaondoka
Na naunga mkono sababu CHADEMA imepoteza dira
Bali ccm ndio imeiokota hiyo dira siyo?dira ya kutuuzia sukari kilo moja sh 4000?dira ya kuyafanya mafuta ya taa kuwa ni almasi?dira ya kutuongezea kodi kwenye miamala ya fedha siyo?dira ya kununua vivuko vibovu kwa mabilioni siyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…